Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
THANK YOU,,,
15 Reactions
66 Replies
5K Views
Unakuta Jamaa kaoa mwanamke ambaye ana urafiki wa karibu na mchepuko wake. Lakini pia jamaa huyohuyo ana mdogo wake wa kike ambaye ni shosti wa mke wake na pia ni rafiki mkubwa wa mchepuko wake...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya. Ukiangalia sababu kubwa ya...
17 Reactions
69 Replies
4K Views
Lengo la kuchapisha habari hii ni kutahadharishana na kuachana na Michepuko ambayo huleta sintofahamu katika ndoa zetu. Haya mambo sio poa kabisa na tusi yaendekeze hata kidogo. Kabla ya kuanza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki. Jambo Kubwa nawapa kisa changu alafu mnisaidie kujibu swali langu lililosimama kama kichwa cha habari hii. Wakati nimeanza chuo, chuo flani chenye jina kubwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wapendwa? Samahani, nataka kupata 'experience' toka kwenu wanawake wenzangu ambao huenda mmezaa hajaolewa au hujazaa ila hujaolewa. Hivi kukaa kwenu hivo bila mume mmeona kuna madhara...
25 Reactions
587 Replies
41K Views
Tongoza mwanamke ambaye unajua hakupendi alafu wewe kazabuti tu mpaka akupende Ongezeni na vitu vingine ambavyo vinapoteza mda saana
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Kila ukikutana na bar au gest wadada wejaaa aisee imekuwa kama dar yan hapa msamvu itigi sijui samaki samaki naengne machimbo kibao ila mbna hamna pisi Kali za vyuo et wakulungwa
1 Reactions
3 Replies
478 Views
Anachofanya Manara kuoa kila baada ya miezi miwili naona km anafanya uzinzi kwa kigezo cha kufuata misingi ya ndoa. Upande wa Ukristo asingeweza kufanya huu upuuzi, mwanamke ambaye amemtambulisha...
10 Reactions
135 Replies
8K Views
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Yaani kuna wanawake ukimwangalia hivi unamuona kama ni smart, ana maadili mzuri, hata shule ipo kidogo Mnapoanza mahusiano, unashangazwa kidogo na tabia zake. Kwa mfano ukimuuliza siku zake...
0 Reactions
7 Replies
828 Views
Siku kadhaa hapo nyuma nilikuwa ni mwalikwa katika kongamano fulani lililohusisha wizara na taasisi kadhaa za serikali katika hoteli moja hapa mjini. Muda wa breakfast, nikiwa nimeshakaa tayari...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kijana kuwa na Wachumba wengi utapoteza pesa [emoji18]Mmoja utampa kidogo,Ila kidogo kwà wengi ni kingi,Magonjwa na kuchelewa Malengo yako[emoji18],Utahisi kuwafaidi Ila mwisho ni Majuto na...
1 Reactions
5 Replies
732 Views
Kama title inavyojieleza Naombeni ufafanuzi juu ya hili jamanii Kuna binti aged 18 single mother nilikutana nae kipindi cha sensa nikaomba namba tukaanza mawasiliano Baada ya muda nikaomba...
15 Reactions
66 Replies
4K Views
Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana. Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na...
18 Reactions
227 Replies
14K Views
Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya...
1 Reactions
9 Replies
875 Views
Hakika Ngoma ikivuma Sana inapasuka waswahili walinena, Leo ni siku mbaya sana ktk maisha yangu nahisi uwezo wangu wa kufikiri umefika mwisho. Ishu ipo hivi jana nilikuwa na mchepuko wangu kwenye...
30 Reactions
246 Replies
14K Views
Wanawake walio wengi, walishajiwekea utaratibu wa wao kuhudumiwa tu kwenye mambo yanayohusu pesa. Na si wao kumuhudumia mwanaume. Hii imepelekea kwa wanaume wengi kuwa watumwa, kuhangaika usiku...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji. Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake...
22 Reactions
70 Replies
4K Views
Back
Top Bottom