Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Bwana bwana nimepita nyumba moja hivi, yenye singo mama aisee Yule mtoto sijui kakosea nini? Mmama anatukana mtoto wake huyo utafikiri yupo Kilabuni kalewa ngerenge mixa na chibuku na katika hayo...
1 Reactions
6 Replies
483 Views
Wakuu hamjambo? Aisee nina mke wangu wakati tumeanza mahusiano mpaka namuoa tulikuwa tunapiga game matata sana mpaka alikuwa anaomba kabisa mpaka anapata ujauzito ndo acha kbs kipindi cha ujauzto...
0 Reactions
11 Replies
704 Views
HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha. Wakati mwingine kupewa namba ya simu...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Jamani samahani kwa wale wote mlionitafute kwa Uzi ule wa "NATAFUTA MKE MWENYE MTOTO".
0 Reactions
16 Replies
820 Views
Punde baada ya uhuru ilianza kuvaa suruali na nguo za kubana. Ikaja kuva nguo fupi ikawa ndio fashion kwa asilimia kubwa ya wanawake wanavaa hivyo Ikaja kujichubua asilimia kubwa wakaingia...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Pinned post....ilindwe
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Za saizi waheshimiwa Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo...... 1. Iringa 2. Ruvuma 3. Tanga Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe...
2 Reactions
7 Replies
813 Views
Ningependa kupata mtazamo wa wanawake waliopo hapaa Jukwaani kuhusu suala la mwanaume kulipa mahari anapotokea amempenda mwanamke fulani na anahitaji kuishi naye. Naomba kufahamu ni kwanini...
5 Reactions
148 Replies
4K Views
Mrembo wangu anataka nimtafutie course outlines za course zote za LLB undergraduate. Nimejaribu but in vain.. Jamani Kama kuna mwanafunzi wa llb hapa na una course outline ya course yoyote please...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiwa kijana niliekulia mkoani na kuja jijini kuanza maisha. Ubora wa maisha kwa sehemu kubwa umepungua sana kwa kukosa radha ya rafiki wa karibu na...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za kwenu wadau. Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo. Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi. Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms😅😅😂😂 nikakwepa Nishamwambia sina...
21 Reactions
302 Replies
18K Views
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi. Mwaka 2019 Nilikuwa na mahusiano...
8 Reactions
160 Replies
6K Views
Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za...
12 Reactions
82 Replies
5K Views
Waliooa hapa duniani ni wachache sana, wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha, ndiyo maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri. Waliooa ni wale wanaoishi na...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Hakuna wakati mbaya kama huu kwa vijana watafutaji kama BabaMorgan, Wadangaji kila Kona yaani Kila wakati mtu unalazimika kubadilisha matumizi ya kipato chako bila ya kupenda Huku kaacha mapaja...
21 Reactions
82 Replies
4K Views
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile. Lakini bahati nzuri ni...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom