Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.
Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda...
Baada ya kukaa na huyu demu kwa miezi 8 kwenye mahusiano na kumgegeda zaidi ya mara 30 nikamchoka na nikakosa hisia nae
Last week nimemgonga nikamwacha kimya kimya na kumlia buyu.
Jana anaibuka...
Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano...
Wakuu naiman hamjambo
katika kufanya research yangu nimegundua ya kuwa huu mtandao. Una mpromoti mwanamke kiasi cha kwamba akajisahau yeye ni nani katika ndoa au mapenzi yake na wanawake wengi...
Habari za weekend jamani
Tukiwa tumejisogeza maeneo tukiendelea kupata TRAB ya baridii na TRAT ya kuchoma.
Naombeni tujikumbushe katika kikao chetu cha mwisho kipegele cha kuhonga pesa ya kusukia...
Walengwa:
1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto
2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha...
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka...
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuzi wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.
Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake...
Kuna mwanababa amenileta kwake niishi hapa, hivi sasa natimiza wiki mbili. Lengo kuu haswa la kuwa hapa ni kwa ajili ya kuwapatia mafunzo ya ziada wanae wawili wa kiume, mmoja darasa la nne...
Kuna shule iko somewhere, wanafunzi wake wa A level wa kike wako boarding!
Kutokana na umbali uliopo kati ya nyumbani na shuleni, nililazimika kuamka asubuhi na mapema ili kuwahi kabla ya mwalimu...
Tayari nishagharamia 15k ya chumba chenye hadhi na kiyoyozi juu. Juu ya kijisturi nimeweka wali na samaki wa kubanikwa tayari kwa mtoto anayeenda kuliwa. Gheto kwangu nimetoka tayari nishatafuna...
Sasa ifikie wakati tuendane na kauli ya usawa wa 50 kwa 50
Haiwezekani kila demu ninayemfuata namtongoza huku nikiambulia matusi makali kutoka kwake, halafu mwisho wa siku nibahatike kumchakata...
Kuna msela mmoja apa kijijini kwetu watu walikuwa wanamuogopa kwasababu ya tabia zake chafu
Alikuwa muhuni kinoma tulikuwa tuna muita chinja chinja
Jamaa huyo alikuwa mwizi na mpenda vurugo saana...
Leo naomba tuongee kiume, wanaume wenzangu. Najua ni vigumu kuridhika na mwanamke mmoja uliyenae, ila hata kama tamaa ikikuzidia sio lazima uzae na mchepuko. Unajua katika familia, Baba ni kichwa...
Habari za mchana wana Jf,
Iko hivi..nimekuwa kwenye mahusiano na mdada flani hivi huu mwaka wa pili sasa ila sasa pale napotaka kumkumbatia ananiwekea kizuizi hataki hata nimguse nikimuuliza...
Kuna papuchi nimekuwa nikiifukuzia na kuiomba kuichakata ni mwezi wa tano sasa. Juhudi zangu zote hazikuzaa matunda mbali na kuhonga sana, kutumia muda wangu ipasavyo.
Katika harakati za kukata...
Naombeni kwanza kukaribishwa kwenye haya majukwaa ya kijamii!
Nina mpenzi wangu ambaye nilikutana nae mkoani, hivyo tukaanza mahusiano na sasa tuna miezi kumi.
Mwezi uliopita kwenye tarehe 20...
Kwenye mahusiano Kila mtu ana mtindo wake wa kuyaendesha. Kuna ambae ni playboy, hana muda wa kusettle na mwanamke kwa muda mrefu, anapiga na kuacha. Kuna dada ambae ameamua kuwa mdangaji, yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.