Huyu mwanadamu ni nyoka.
Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza.
Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee...
Habari wanajamvi.
Leo katika pita pita zangu nimemfumania mpenzi wangu anaomba kutumiwa video za utupu maarufu kama Koneksheni, ameomba na ametumiwa na kilichoniuma zaidi ametumiwa na Jamaa wa...
I have the unfortunate luck of finding too many girls in my life and not enough women. Its not an age thing some women are younger than girls. The difference is in the way the two types act...
Habari wapendwa
Binafsi nataman sana ku-adopt watoto kutoka vituo vya watoto yatima (wenye mazingira magumu) ilikuwa ni tamaa yangu tangu nilipojitambua.
Nataman niadopt watoto wadogo kabisa...
Habari wanajamii,
Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.
Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano...
Mambo vipi jamiiforum members.
Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka.
Ni...
Ambwene mwasongwe kwenye wimbo wake wa nguvu ya kujua kuna sehemu anasema “Moyo wa mtu ni kichaka, umehifadhi mambo mengi”
Neno maisha ni fupi ila lina namna zaidi ya moja ya kulielezea, Watu...
1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana
2. Mpenzi Luta by...
Kuzipata hela sio kuwa na hela nyingiiii au kununua magari mengi hadi mengine huya tumii ...au kununua nguo nyingi ambazo hadi nyingine huzivai. Kuwa na hela ni kuwa na uhakika wa kutimiza mambo...
Binti kisu kisu kweli.
Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha...
Hakika wanawake si binadamu, ni viumbe wa ajabu sana kulinganishwa na majini au hata nyoka. TUISHI NAO KWA AKILI
Mwaka 2017 huyu binti alikuwa kidato cha nne. Kwa bahati mbaya alipata ujauzito...
Habari!
Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu.
Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue.
Binti...
Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense.
HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako.
Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao.
1. Ni mkorofi Sana.
2. Hutaki Nonsense...
Zamani nilikuwa napenda kama kuku bwenge, nikimpenda mwanamke nilikuwa sisikii wala kuona. Nilikuwa naomba msamaha kwa kosa ambalo sijafanya mimi ili kulinda upendo wangu. Nilikuwa masta wa kuonga...
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia...
Wakuu natumaini ni wazima, Mungu anaendelea kutupigania.
Niende moja kwa moja kwenye uzi
Iko hivi nilikutana na dada mmoja kiukweli nilitokea kuvutiwa sana na huyu dada kiukweli sikutaka...
Wasalaaaam………!!!!!!
Nimekaa nimetafakari kisha nikagundua katika maisha yangu yote toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi nikiwa sijalewa, wanawake wengi ninaotembea nao ni wale ma barmaid...
Za mda huu watu wa nguvu? Poleni na kazi !!
Iko ivi Kuna ishu hapa Ina utata Kuna dogo nilikutana nae maeneo fulani hapa dar kwa vile niliishia nae mkoa fulani huko nyuma alikuwa mdogo kwangu...
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you.
Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.
So tangu enzi hizo dream yangu kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.