Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tuna siku ya 4 hatuonani na hatusemeshani na Mchepuko Wangu mamaJ kajinunisha. sijajihangaisha sana kumbembeleza wala kuyamaliza maana kisa chenyewe hakina KICHWA wala miguu (Kuna Uzi wake...
18 Reactions
113 Replies
13K Views
za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia, kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu namba yangu...
3 Reactions
11 Replies
936 Views
Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October...
12 Reactions
118 Replies
8K Views
Habari wanajf Ndugu zanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya...
29 Reactions
145 Replies
18K Views
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga...
10 Reactions
270 Replies
20K Views
Kuna rafiki yangu leo kashikwa na polisi kapelekwe makahamani kwa kesi ya uongo. Hakika nimeumia saana na ndo nimekuja kugundua kweli sheria zipo kwasababu ya kukandamiza haki za wanaume tu...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwema wakuu, Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni! Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye...
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Wanaume ebu changamkeni, haiwezekani wewe utumie simu Kali mpenzi wako awe na simu ya button. Je, wewe mwanaume Ni simu gani Kali ya smartphone ushawai mnunulia mpenzi wako
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo. Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi. Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Binafsi naona siyo sawa kwa Mwanamke aliyeolewa kuwa na rafiki ambaye hajaolewa, vile vile kwa Mwanaume ambaye ameshaoa kuwa na rafiki “muhuni” ambaye bado yuko single, ni vizuri wenye ndoa...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Mahusiano mengi yamekuwa ndio chanzo, cha kuwafanya wanaume wengi kuendelea kuwa masikini. Wanaume wanakuwa wanaingia gharama kubwa, ili kuweza kumridhisha mwanamke, iwe kumjengea nyumba...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana. Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni watoto wa baba mmoja ila mama tofauti, yeye ni kutoka kwa mama ambaye ni mke mkubwa wa baba yangu. Na mimi ni mtoto wa mke mdogo. Tunazidiana miezi miwili Lakini ni miezi miwili sasa dada...
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno. Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana...
14 Reactions
173 Replies
9K Views
Zamani suala la kuoa lilikuwa miongoni mwa suala la muhimu sana katika maisha ya mwanaume.. pamoja na kwamba mwanaume hufanya mipango na projections za maisha yake lakini hakuna swala lililokuwa...
83 Reactions
653 Replies
50K Views
Mwalimu : Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa...
37 Reactions
516 Replies
56K Views
Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom