Habar zenu wanajamiiforum..hope ni wazima mnaendelea vzr na majukum ya kitaifa..
Ndugu zangu ushauri wenu unahitajika kwa huyu rafiki yangu..Ni graduate ambae ni jobless bado ..lakini alibahatika...
Hawa dada zetu warembo kuna mda wanajichanganya saana alafu wanakuja kujitambuwa tayari maisha yao hayana tena thamani yaani nina maana mfano kuzalia kwao au kujiingiza kwenye mambo ya ajabu ajabu...
Kwa miaka zaidi ya 7 sasa nimekuwa nikibadili wanawake.
Kuna usemi kwenye kitabu cha dini unasema utajijaribu kwa tamaa zako mwenyewe.
Mwanaume unaenda kufanya manunuzi au unaenda kupiga balimi...
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.
Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila...
Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo...
Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na...
Ilikuwa ni mwezi wa 6 mwaka huu mwanzoni, ndipo nilipoanza kumfuatilia. Huyu binti anafanya kazi bank. Kwa kweli ni mzuri, mweusi mrefu ila ana madharau sana[emoji23]
Nikapiga moyo konde...
Ni huko kwa wanaijeria.
Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding.
Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya...
Sijui nianzie wapi kuelezea kwa kisa kilichonipata .
Ila nimeona leo ni share kisa kimoja kilichowahi nikuta 2019 nipo kwenye harakati za uchimbaji na usafirishaji wa madini
Ilikuwa Mida flani...
Mara kwa mara nimekuwa nikitumia pesa kupata true love lakini sijafanikiwa mara nyingi nakutana na makanjanja matapeli na nimeisha kutana mpaka na maibilisi ni wezi mtupu.
Sifa nyingi, zielekee...
Habari wakuu...
Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu..
nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika.
mademu...
Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja.
Najiamini kuwa nami...
Alikwama katika harakati zake za hapa na pale, hivyo akaniomba nimpatie elfu thelathini asogezee siku kisha kuahidi kunirudishia siku iliyofuata.
Cha ajabu siku iliyofuata akanilia buyu, kisha...
Habari za jumapili natumaini mpo wazima kabisa baada ya ibada sasa ni muda wa kumpa Kaisari yalio yake...
Kwanza kabisa nitangulize samahani nikiwa kama mwanachama wa rank ya juu kabisa wa chama...
Wakuu najua mko poa
Kama mada isemavyo kwa hiyo nimekuja hapa ili tupeane maujuzi kidogo
Kuna binti mmoja nilikutana nae mwezi uliopita nilimkubali sana nikaamua kumtegea mingo na kumtongoza...
Hili suala limetokea tu automatically sielewi shida nini. Najaribu kuvuta hisia za kimapenzi pamoja na kuangalia phonographic video lakini Hola.
Nimeona nichukulie kawaida tu kwanza Sina ya...
Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji.
Sasa napenda kujua madhara yake...
Wakuu, kutokana na changamoto za hapa na pale za kimaisha, nimejikuta mtu wa mawazo sana kiasi kwamba ni wiki ya tatu nimekutwa na changamoto hizi:
1. Nimepoteza hisia za kimapenzi, sina hamu na...
Habari wakuu?
Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko...
Brethren,
NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari.
Ni hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.