Habari zenu Jf.
Leo asubuhi Mida ya saa Moja asubuhi nilimpa lifti msichana mrembo maeneo ya Kimange mbwewe.
Mimi naelekea Muheza Tanga natoka Moro yeye kaniambia anakwenda Kabuku Handeni Tanga...
Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae.
Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu...
Unachohitaji kujua:
Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo...
Kuna dada mmoja namuelewaga sana nikajitahidi kupata mawasliano nae nikafanikiwa tukawa marafik kabsa.
Zilipofika nyakati za kumtongoza nikafanya hivo na akasema naomba muda kidgo takujibu. Sasa...
Wakuu amani kwenu. Leo nimekuwa natafakari jinsi mambo ya mahusiano ya mapenzi yalivyo kwenye dunia yetu ya leo. Kuna swali najiuliza nabaki kutabasamu tu, hivi kweli leo hii sheria hizi...
1. Anaficha hisia zake:
Anaweza akakwambia kila kitu, lakini asikwambie jinsi siku yake ilivyokuwa, hapo kuna uwezekano mkubwa huwa anamweleza mwanaume mwingine. Kama hakuambii kuhusu masahibu...
Miaka 14 iliyopita nlikuwa kwenye Bus naelekea Arusha. Safari ilikuwa ya kikazi nmeondoka hapa Jumamosi kuelekea Arusha kuendeleza Ujenzi wa Taifa.
Binafsi huwa napenda kukaa siti ya nyuma ya...
💕😄👈JIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABU😄💪
UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘
💕😘Mume Ni MTAMU 😘💕
💕💕👍🏾Mke nywele zako ndefu unashauriwa...
Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.
Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu...
Kuna demu fulani nimetokea kumpenda ni mfanyakazi mwenzangu
Demu tayari nimeshaongea naye ila kibaya zaidi naona yupo tofauti na wanawake wengine
Kwanza anajiamini kinoma
Pili ni mtu sometime...
Aisee, sijui enzi izo wahenga walikuwa wanawaza nini hadi wakaja na huu msemo. Amini usiamini mtalaka huwa atongozwi kabisa..
Nimekuwa na X wengi kidogo ambao matika makuzi au maisha yetu ya...
Kwema humu?
Nawasilisha hitaji la mke wa pili kama ambavyo nilimpata wa kwanza humu.
Umri wake usizidi miaka 32.
Kwa mwenye utayari tunaweza kuwasiliana kupitia PM.
habari zenu
Leo nimeweza kufanya fumanizi nililopanga ila kabla sijafanya hayo nimepitia hatua zifuatazo
A. Nimealika watu wa heshima
1. mchungaji
2. Kaka yake mke wangu ambaye yupo mtaa wa karibu...
Kama kawaida katika jitihada za kuendelea kuwapambania wateswa na mapenzi .
1. Hauna pesa, nikisema pesa nazingumzia pesa kwa ajiri yako wewe mwenyewe sio za kutuma na ya kutolea, pesa zitakazo...
1,Kinyaa,mwanamke anajitahidi anampa mmewe penzi lake bila tatizo ila baadae utaona au utasikia anatoka na mwanamke mwingine mchepuko,unawaza yaani hili limwanaume silinyimi kitumbua linaenda huko...
Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule...
Za asubuhi wakuu(Au nikamuulize jogoo?
Nina siku ya 31 tangu nijiunge na harakati ya ukombozi wa nafsi iitwayo NoFap Challenge.
Kuna vitu vimenitokea naona kama hii kweli inasaidia kuponya nafsi...
AFRIKA ndo bara ambao wanaume wanakaa kwa kuwatukuza sana wanawake
Kivipi?
Utakuta mtu anapambana na mavumbi ya kongo ili mpenzi wake aridhike na akitoka hapo bado anatoa hela wakati raha...
😅😅😅😅😅kwanza nchekeee!!
Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana.
Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana...
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.
Sasa nilipo fika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.