Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakubwa kumbe tunateseka na mapenzi bure. Tayari wazungu wamesha maliza kila kitu Ukitaka kula Mbususu kwa uraisi kabisa tayari wazungu wamesha tengeneza German sex drop IPO hiyo ni kwasababu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetokea kuichukia / kuichoka kazi ninayofanya, mainly kwa sababu ya mipango yangu ya baadae pia mazingira na mfumo wa kazi, Kila nikipanga escape route inafeli hivyo nawajibika kuendelea coz...
2 Reactions
7 Replies
877 Views
Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama wewe ni mnunuzi bila ya kujali ndio unaanza ama tayari umekuwa mwandamizi ukweli ni kuwa una vitu common na wanunuzi wengine all over the world na kubwa zaidi mnachofanana ni mdomo kuwa...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi...
46 Reactions
119 Replies
9K Views
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako, Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu...
29 Reactions
570 Replies
97K Views
Habari za humu ndani wana Jamiii Forums? Niende moja kwa moja kwenye mada husika, nina jamaa yangu anaomba apewe ushauri kwa hili, ame ishi na mwanamke toka 2018 kipindi chote hicho amebahatika...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuchepuka kwenye ndoa imekuwa ni jambo la kawaida kwa watu wengi; unakuta mwanaume ana mpenzi wa kando, pia mwanamke ni hivyo hivyo. Ingawa kwa asilimia kubwa, wanaume ndio wanaoongoza kuwa na...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Unajua kuna mambo yanafurahisha sana utakuta mwanamke amekaa kabisa kajipanga eti anakupanga jinsi gani ya kumpa pesa ili uupate moyo wake.[emoji16][emoji16][emoji16] Kwa sisi alfa males...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Binafsi sioni shida yoyote kuona mwanaume akilia kilio cha mbwa mwizi kwa kuibiwa bar au kukimbiwa hotel na mtoto wa kike, TUACHE kuwatupia lawama wanaume wenzetu na kuona maboya, wajinga n.k...
1 Reactions
70 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna kitu nimewaza na haya ni mawazo huru. Maisha kwasasa yamekuwa ghali sana, na piah utandawazi umebadilisha mitazamo mingi sana. Tujikite hapa, kuhusu mahusiano imekuwa kawaida...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama...
6 Reactions
93 Replies
4K Views
Mimi kama GENTAMYCINE kosa langu nitalisema baadae kwani ni kubwa na bado naendelea kutubu kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha huyo Ex wangu pamoja na kwamba ameshaolewa na kubahatika...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital. Nikamuuliza "mbona Jana ulinambia uyo...
29 Reactions
183 Replies
12K Views
Kitambo kidogo nilianza laif la kupanga mjin tandika mitaa ya mku..dubuku baada ya kutafutiwa chumba na kibarua mwenzangu. Baada ya wiki kadhaa tangu nihamie washkaj wakanionyesha chimbo la...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!. Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ambaye nina umri wa miaka 24. Nina malengo yangu ambayo nimejiwekea apo mbeleni kuwa nije kuishi maisha mazuri kwa hiyo basi napambana ili kufikia ndoto zangu. Nikaona ili kufikia...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini naomba kuuliza, ukiachana na kumpenda mpenzi wako je, ni kigezo gani kingine unaangalia mpaka unafikia kusema huyu anafaa kuwa mke? Na je, mdada anaesali sana ni moja ya kigezo? Je, mtu...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii kitu sitaisahau baada yakumtongoza demu wa rafiki yangu halafu akachomoa Dah! Nilihisi kuvurugwa baada ya kuangalia urafiki wangu na jamaa ulivyo niliishi maisha ya hofu kwa wiki nzima hofu...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom