Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Moja kwa moja naomba nijikite kwenye mada, miezi kadhaa iliyopita nilipata kufahamiana na jamaa mmoja ambae aligeuka kuwa rafiki yangu mpenzi(best friend). Rafiki huyo alikua akiishi kwa raha na...
8 Reactions
80 Replies
7K Views
Mwanzilishi wa challenge hii alilenga mambo yafuatayo: 1. Kujizuia kugeuza shingo nyuma ili kutazama maumbile ya mtoto wa kike (kudhibiti matamanio). 2. Kujizuia kutongoza wanawake barabarani na...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani. Ratiba zake zote...
22 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wanajamii forum Kuna siku nilikuwa naongea na wazee fulani wa mtaani kwangu kuhusu mahusiano wakaniambia tatizo la vijana wengi wa sasa wanashindwa kuyaendesha mahusiano yao kwa sababu moja...
11 Reactions
109 Replies
8K Views
Mimi imenitokea live Kuna huyo mpenzi Wangu alichora tatoo ya jina langu katika paja lake la kulia Tena alichora kipindi tumeachana Kuna siku akawa anapiga simu analia anasema tatoo inauma anaomba...
4 Reactions
13 Replies
496 Views
Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mademu kwa bahati nzuri nikapata demu mwenye asili ya kinigeria, nilimgonga demu huyo nikamlipa pesa zake alafu akasepa zake...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Kwa muda sasa kuna jambo limekua linaniumiza na nimekosa pa kuliongelea kwa uhuru ila naamini humu nitapata hekima na busara zangu. Kama ilivyo ndoto ya kila mzazi anaesomesha...
24 Reactions
60 Replies
4K Views
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua. Kwamba ni bora asinione kabisa...
30 Reactions
136 Replies
8K Views
Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende. Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi...
14 Reactions
28 Replies
3K Views
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina...
13 Reactions
57 Replies
4K Views
Huyu binti alikuwa mrembo na mzuri wa aina yake. Hakika nilimpenda kwa dhati! Ilikuwa ni mwaka 2019 nilipomuhitaji kimahusiano zaidi, nikiamini kuwa atakuwa binti pekee nitakayefunga nae pingu za...
17 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari wana jamvi... Natamani sana kupata msaada, uwe wa kimawazo, kisheria ama hata kiuzoefu tu katika hili ninalolipitia. Miaka mitatu iliyopita, nilikutana na mwanamke fulani ghafla tu...
6 Reactions
335 Replies
25K Views
Serikali ya Gambia imetoa onyo kwa wanawake watu wazima "shuga Mamie's" wa Uingereza kuacha kusafiri kwenda Nchini huko kwa ajili ya kuwarubuni Vijana wa kiume kufanya nao ngono.. My take, Hawa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wana mmu! Binafsi niko poa ila kuna jambo linaniumiza sana akili. Kuhusu hatma ya MAISHA yangu kimahusiano. Tangu niachane na mke wangu mwaka 2019 sikuwa mtu wa imani na ndoa ila...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Kuna kipindi niliamua kujipa kazi isiyo rasmi ya kufukuzia ladies wote walio niambia wako single. Niliweka ratiba ya kumfukuzia demu kwa week 2. Katika kipindi hicho liniweka focus kwa demu mmoja...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa...
19 Reactions
142 Replies
8K Views
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway...
41 Reactions
210 Replies
46K Views
Habari zenu mabibi na mabwana natumaini mpo wazima wa afya na maendelea poa naajukumu yenu Leo ningependa kuja na haya kwako kijana ambaye unampango wa kuoa siku zijazo basi ni vyema ukazingatia...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom