Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jiji la Dar lina watoto wazuri sana, ila kiukweli hapa mjini wanawake wazuri wanapatikana bar, na mara nyingi wahudumu wa bar husaidia hasa wenye uhitaji kuliko wanawake wengine. Nendeni sehemu...
5 Reactions
57 Replies
12K Views
Wakulungwa wa Jamii forums, wasalaam. Kama tujuavyo hizi topic za mauaji kwa jina la wivu wa mapenz naona zimekua too much sasa Dodoma week hii nadhani kama sikosei yalikua matatu Mbeya napo mtu...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya...
49 Reactions
374 Replies
18K Views
Salamu kwenu wa JF wote! Kwako Mwanaume mwenye Mchepuko. Mwanaume una Mchepuko tena ni Single Mother, unamhudumia vizuri kila kitu anapata lakini hutaki afanye kazi yoyote wala Biashara huo ni...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nilipokuwa nakua nilikuwa karibu na mama yangu, aliniambia vingi kuhusu baba yangu. Niliamini vyote, sikuwahi kusikia lolote kutoka kwa upande wa mzee wangu. Nilijenga chuki ya ndani kwa ndani kwa...
23 Reactions
116 Replies
6K Views
Habarini Ndugu! Naombeni ushauri juu ya hili swala. Nilionana na dada mmoja mwaka 2015 mwezi wa kumi na mbili maeneo ya Mwembeyanga Temeke akiwa kama agent wa DStv akiuza ving'amuzi. Nilinunua...
20 Reactions
400 Replies
39K Views
Hivi hii si ni TZ? Na TZ si nchi huru? Sasa kwa nini kumekuwa na wimbi la chuki za namna hii? Je, hawa vijana wanawachukulia wake zenu na mademu zenu? Na wengi wa hawa vijana ni madereva boda...
11 Reactions
103 Replies
6K Views
Ndugu zangu Kuna mwanamke nimechukua namba yake wa mtaani kwetu tunachat fresh ila nikimualbia aje namaongezi anagoma Sasa sijajua huyu ananitaka au anitaki ila nikipishana naye njiani ananionea...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku...
1 Reactions
9 Replies
817 Views
Sina mengi sana ya KUSEMA ila nachopenda kuwaasa vijana wenzangu tunapochagua wanawake wa kuoa tusiishie kuangalia shepu tu au sura maana ukiishia hapo ni sawa na anayenunua gari iliyopakwa rangi...
17 Reactions
146 Replies
10K Views
Salaam. Kwa wale walio Dar Es Salaam, hongereni na poleni kwa mvua. Usiku wa kuamkia leo, mume wangu kaota ndoto ambayo kwakweli imetuacha vichwa vikiuma. Ameota alikuwa anafanya mapenzi na...
12 Reactions
84 Replies
10K Views
Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Utangulizi: Huyu dada ni mke wa mtu na ni jirani yangu pale nyumbani ninapoishi. Ni zaidi ya miezi 9 sasa toka nimehamia mtaa ule, ila kwa kipindi chote hiki sijawahi kuwa na mazoea na huyu...
15 Reactions
64 Replies
8K Views
Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu, vitu kama sukari asali mchaichai n.k. Imefika mahali...
15 Reactions
373 Replies
56K Views
Hello JF members, Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa. Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa...
8 Reactions
127 Replies
7K Views
the more the population, the higher the pressure on resources, ni maneno kutoka mada ya Jiografia form 2 au 3 hivi kama sikosei. Kumekuwa na wanaharakati wengi sana humu jeiefu wakiongozwa na huyu...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Wasalaaaaaam…. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati… Unajua katika chunguza chunguza yangu ndani ya miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume wanaolia lia eti kisa mwanamke...
25 Reactions
97 Replies
5K Views
Natimiza 0.10 months sjapiga punyeto. Hakika nastahili kujipongeza kwa hili. Si kawaida na haijawahi tokea! Hapa najizuia kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi. Nakula diet ya majani ya maboga ya...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Katika mahusiano moja ya kitu kinachofanya wenza wengi kuachana, kusalitiana na kushushana thamani ni pale mwenza asipoithamini jinsia yake kwa mwenza wake. Naaminisha wewe kama ni mwanamke...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom