Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Asiwe mfupi, asiwe mnene asiwe mweusi. Awe tayari kuishi maisha ya Kiislam (kusoma dini na kufanya ibada ni lazima) na awe tayari kuishi maisha yeyote pasi na kwenda kinyume na mafundisho ya...
4 Reactions
18 Replies
824 Views
Wakuu habari? Poleni na tozo. Je, wenzangu haya kwenye mahusiano yetu mnaya fanya?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Jf. Unakuta msichana mrembo kabisa mkali pisi kali anafaa kuwa mama yeyo lakini kuna kijana anaharibu anakula tu alafu haoi. Waoaji wakija kashaumuka.Tutunge sheria ya hivi viharibifu vya...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki. Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa...
4 Reactions
88 Replies
6K Views
NILIVYO KUTANA NA ESTA KIJIJINI MKOLA. Hali ya hewa Ilikuwa inafika nyuzi joto 10C hadi 12C. Ni kipindi Cha baridi, tena baridi kweli, halafu unaambiwa angalau huku ndani ndani, huko Mbeya...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi! Mwanaume kamili inabidi...
27 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi. Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria...
17 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu hii kitu ni kweli kabisa sasa nimeamini, kuna dada mmoja hapa jirani ninapoishi niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano lakini kutokana na tabia zake za dharau na kujiuza uza kwa bei chee...
4 Reactions
9 Replies
837 Views
*USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa. Swali: Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa? - Kwangu Mimi maisha yaliyo...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Katika maisha haya bado nawaza tofauti ya kuumizwa na kutendwa maana najua mtu kukuumiza ni pale amekuonea au kupoteza imani yake juu yako lakini kutendwa na jua tu labda kwenye usaliti wa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanawake hawana cha kupoteza. Umeokota demu huko sijui mpenz, bao mbili zinamtosha. Sio lazima aridhike, ukiridhika wewe inatosha. Yaani umridhishe, umpe hela na pia upoteze protein hapa tunajiua...
27 Reactions
116 Replies
9K Views
Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya...
30 Reactions
148 Replies
11K Views
Hii ni kwa wote, wanawake na wanaume. Ikiwa mke/ mume wako hana uwezo wa kupata watoto utachukua uamuzi gani?
1 Reactions
89 Replies
7K Views
Sad, alikuwa single mom, watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa na blah blah kibao. Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote...
61 Reactions
373 Replies
23K Views
Uhali gani wanajamii. Nina mdogo wangu ana miaka 22 ameoa mwezi uliopita kiufupi walichukuana tu baada ya kupendana na mdada mmoja yupo mitaani Sasa ubaya nikwamba hana kazi yoyote yeye na mkewe...
16 Reactions
104 Replies
5K Views
Zamani soko la ngono lilikuwa likisimamiwa na wazee na jamii yote kwa ujumla. Ilikuwa vigumu sana kwa vijana kujiingiza kwenye mahusiano kabla ya ndoa kwa sababu jamii iliweka mipaka kwenye...
27 Reactions
189 Replies
21K Views
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe. Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya...
20 Reactions
154 Replies
10K Views
Habari zenu watanzania wenzangu hasa kwa wale ambao bado hamjaoa Nimepata kitu nimeona ni bora kuchangia na nyie ambao mnatarajia kuoa siku za mbeleni. Mambo yenyewe ni hayo hapo Kwa nini...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom