Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini...
7 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna wazazi wanazingua Sana! Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika. Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and...
22 Reactions
147 Replies
7K Views
Kwanza kutingisha makalio ni kitendo cha kuonyesha kipaji cha kucheza. Siku hizi ni rahisi kumuona hata mtoto wa miaka mitano akicheza kwa kukatika. Sababu zinazofanya dada zetu watutingishie...
9 Reactions
60 Replies
8K Views
Nilikuwa nasikiasikia tuu watu wakisema hivi vinywaji type ya "___ Energy" vinaongeza nguvu ya mwili na ashki ya mapenzi, pamoja na sifa zingine zingine ila nikawa siamini. Kutokana na maneno...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Unayempenda hakupendi! Unampa hela bado hakupendi. Leo yupo kwangu kesho kwako. Hivi babu zetu waliweza survive vipi? Unahudumia nayeye anamhudumia mwingine. Unamjaza mimba ukimuuzi anasema siyo...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Habri wakuu .. Hapa naongea na vijana wenzangu umri kuanzia 18-28 maana ndio asilimia kubwa tumemaliza chuo ajira ni changamaoto na mapenzi ni pesa ..! Kwanza kabisa niwaambie kuwa kwa Dunia ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Inaskitisha na inahuzunisha, Wakuu mko poa? Naenda kwenye maada,: hapa jirani imezuka kelele ya kufa mtu ambapo naishi kuna mke wa rafikiangu ambae ni mke wa mwalim, mkewake katobw,,,, na mganga...
12 Reactions
67 Replies
11K Views
Wakuu haya ni maoni yangu binafsi baada ya kuangalia tabia za familia nyingi hasa za mjini. Hivi karibuni kulitoka ripoti iliyoonyesha wingi wa ndoa zinavyovunjika Dar es Salaam. Ukitazama...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Naam hapa nazungumzia ile hali ya kumtongoza Mwanamke kwa leo tu la kula kimasihara yaani hit&run! Yaani hii kitu ni hatari mno maana unajikuta unamtongoza Mwanamke ambaye sio type yako kwa lengo...
2 Reactions
6 Replies
763 Views
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)? Kwanini...
8 Reactions
257 Replies
20K Views
Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen. 1. Kwanza wanajua...
6 Reactions
78 Replies
11K Views
Unajua Mungu sio mjinga au wendawazimu Kusema kuwa mwanaume na mwanamke hawako sawa. Sasa sijui ni nani huyu mwenye ufahamu zaidi ya Mungu ambaye alisema mwanamke na mwanaume wote ni haki sawa...
0 Reactions
11 Replies
632 Views
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Nina mademu zangu watatu sasa nikajaribu kuwaambia nataka kuwaoa nikatuma sms kwa kila mmoja sasa demu mmoja yeye kanijibu kwa jazba, nimeshangaa kuniambia namuingilia kwenye maisha yake'' kwa...
23 Reactions
88 Replies
7K Views
Huyu ni mke wa mtu. Nilikuwa ninaomba dua niachane naye, ikashindikana, nisi muwaze ikashindikana, nilimtumia pesa na zawadi kibao. Jf ilinishauri sana kiachana naye, nilijitahisi sana...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Share experience apa mwana MMU, imewahi kukukuta pale unakuta kuna mwanamke umemuelewa halafu unajaribu kumpa maelekezo hakuelewi, hamna jibu, hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Miaka inakimbia kama Tuisila Kisinda/Tk Masta hainisubiri sababu mimi sio special hata ningekua special isingeweza nisubiri. Ukija kwenye sekta ya mahusiano nako ni afadhali ya jana kuliko leo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa kila siku nikienda kwenye hotel moja kwaajili ya kula, mimi siyo mpenzi wa kujipikia kutokana na kuwa ratiba zinanibana hivyo nimezoea kula kwenye hotel iliyopo mtaa wangu. Sasa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa kuna story 2, zote kali! Inabidi tupige kura, story ipi iletwe leo, na ipi next week! Samaritan Jecha endesha zoezi kwa ufasaha...
18 Reactions
259 Replies
38K Views
Back
Top Bottom