Ushauri
Wakuu kwasasa mwaka na nusu ninamahusiano nahuyu mwanamke, kwasasa kwao baadhi wananijua, yeye anang'ang'ania tuishi wote nimuoe, ninachojiuliza hivi inawezkana kweli kwasababu amenipita...
Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana...
Wakuu humu ndan nna swali langu.
Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda...
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!
Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music...
Dalili 12 zinazothibitisha upo kwenye "toxic relationship" au mahusiano yasiyo husiana na mapenzi.
1. Ana pande mbili kama shilingi kumi
Kuna siku anakupenda sana na siku nyingine unatafuta wapi...
Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Habari!
Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi.
Je, mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe?
Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
Habarini ndugu zangu, naombeni niwape mkasa wangu kidogo ili walio nizidi umri na wenye busara wanishauri kwenye ili ninalopitia, maana nina ongozwa na mawazo sana na nashindwa kuiona kesho yangu...
Wakuu, wasalaaam,
Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana?
Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli?
Na kama kuna anayejua...
Kuna siku nilileta uzi humu, kuhusu mchepuko mpya niliyekutana naye, na akaniomba nimuongezee mtaji ili aweze kujiajiri.
Kutokana na mtaji alio uomba ulikuwa mkubwa kiasi fulani; sikuwa mwepesi...
Natumai mko salama,
Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na binti ambaye kutokana na maono ya pendo langu, nahisi nimepata wa kuendana nae.
Siku ya Jumapili jioni nilimuomba tukutane somewhere...
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya...
(Ni lazima uwe na nia safi naye,kumuoa au kuolewa,usifanye kwa mke au mume wa mtu mwngne (ukimfanyia ili uSEX naye tyu kisha uachane nae yatakayokukuta utajiju!!)
ANDAA VITU VIFUATAVYO
1. Okota...
Hello,
Nina best yangu ambaye tulikuwa tunafanya kazi pamoja sasa hivi juzi amekuwa akinisimulia matatizo ya mumewe yaani mumewe amekuwa sio mtu wa kukaa na family yake walau hata weekend sasa...
Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu.
Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE...
Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui...
Peace be upon you all,
Nadhani lengo la vikoba (sijui kama napatia spelling) ilikua kuwasaidia wanawake kiuchumi ila sote tunachoshuhudia ni tofauti kabisa. Vikoba vimekua kitanzi cha miiba mwitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.