Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa. Kama imewahi kukutokea itakuwa...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Mara nyingi hamuitikii salamu Nilichogundua ni kwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko mwenye watoto wachache. Kwangu nimepima watoto wengi nikuanzia wanne...
22 Reactions
81 Replies
4K Views
Ile ndo mnaita sex drive. Kuna watu wanapenda kulana daily. Weekend mara 3 yaani wako hivyo. Sasa akikutana na mtu ambae kimoja cha mkwezi amefunga faili mpaka week ijayo inaleta shidaa. Wengine...
30 Reactions
71 Replies
9K Views
Nimetokea kupenda kufanya mapenzi na wanawake wenye matumbo makubwa(vitambi). Sio siri wanawake wa aina hii wana joto sana yaani ukiwa unashika shika nyama za tumbo mzuka unapanda fasta. Dada...
14 Reactions
629 Replies
61K Views
Wadau habarini. Ukikaa muda mrefu bila kuchapa demu inakuwaje kuna madhara unaweza kuyapataaa
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Ametoa kauli fikirishi Sana. Nami najiuliza kwanini wazazi wanabadilisha mabinti zao na fedha, ng'ombe, mashuka, mikuki, pombe na majembe?
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za juma pili wakuu, wacha leo niwakumbushe kidogo vijanajuu ya kupata wenza wanaokaa makwao. (1) Usioe binti ambae kwenye familia yao mama ndio Kila kitu. Yaani mama ndio mwenye sauti...
41 Reactions
93 Replies
6K Views
Huu ushauri ni kwa wale wenzangu na mimi ambao hatujui lini tutamiliki pesa na hapo hapo tunahitaji mbususu Njia ni moja tu tafuta buku 20 yako tulia tafuta shekhe wako mkali mwambie nifanyie...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu mpendwa, Pengine kuna wanaoulizia nyota nini tukisoma kitabu cha luka tunaona mamajusi walikuwa wakimfatafuta yesu wakiwa wanaaendelea kumtafuta wakaona nyota mashariki ya mbali, hapa...
16 Reactions
35 Replies
50K Views
Jamani nilitaka kujua mwanamke huvutiwa na nini kutoka kwa mwanaume? Maana vijana wengi itawasaidia kuepuka ubachelor. Nitashukuru sana kama dada zangu watafunguka ukweli wote. Hii itatusaidia...
7 Reactions
328 Replies
67K Views
Kesi hiyo haikutatuliwa kwa zaidi ya miaka 40. Hadi Jumanne iliyopita, jaji wa Mahakama Kuu ya New South Wales nchini Australia alipomkuta Chris Dawson, 74, na hatia ya kumuua mkewe, Lynette...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Si vizuri kuwa singo, kipindi hiki cha mwiso wa wiki (weekend), wakati unaweza kumshika shati Hamisi/Ashura, na mapumziko ya mwisho wa wiki yakawa safi kabisa. Yeyote aliye singo wkend hii...
3 Reactions
106 Replies
3K Views
Kabla ya kupitia hii thread hakikisha mpenzi wako ana umri kuanzia 18+ pia asiwe mtu kutoka kanda ya ziwa au mbeya maana hawa ndugu zangu nawafahamu vizuri 😂😂 ⚠️Hakikisha mpenzi wako wallau...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu...
105 Reactions
547 Replies
66K Views
Wakuu tupeane mbinu maana jahazi linataka kuzama kwa sisi ambao hajutazoea kucheat! Nakaa na mwanamke ile sogea tuishi sasa mtihani ni kwamba nimetokea kumtamani Mwanamke mwingine mzuri sana...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Mapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Back
Top Bottom