Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za humu! Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Salaam wanajukwaa Naomba ufikirie, ujitazame, ujipime na usome hadi mwisho penye mapungufu jazia, penye kosa kosoa, na maoni au mtazamo wako ni muhimu. Hili neno kuridhika katika sex ni jukumu...
1 Reactions
5 Replies
660 Views
Ni mwezi sasa niko kwenye mahusiano naye. Hajawahi nikosea. Akija ghetoni kwangu huishia kukagua chumba, palipo na dosari hupasawazisha! Hakika ni binti wa namna yake. Hajawahi nipimia kumgegeda...
17 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu kwema. Moja kwa moja kwenye mada. Nina mdogo wangu 20-24 yrs, mtoto wa mama angu mdogo. huyu dogo kamaliza Chuo cha Kati huko mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Wakati yupo huko kadanganya...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Leo katika pita pita zangu nimeona niwaletee hii japo kuwa wapo ambao wstapinga. Si kila mtu anapata bahati ya kuoa au kuolewa na mtu...
4 Reactions
8 Replies
774 Views
Mwenzenu mimi nimepigwa na kitu kizito kichwani. Hakika nilikuwa nasikia habari za wanawake kuwa sio watu wa kuamini kwa watu tu nilikuwa nafikiri wanawanyanyasa ila kiukweli mimi leo mwenyewe...
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu hamjambo? Na wadogozangu mko poa, Moja kwamoja naenda kwenye pointi yangu, Kuna tabia fulani baadhi ya wanaume hua sio nzuri unakuta mwanaume anamsimulia mke wake eti baba fulani anatembea...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF, Kuna jambo ambalo limenitokea jana yaani hadi sasa nina hofu ata chakula hakiliki, ninahitaji ushauri kwenu makaka zangu na madada pia. Kuna jamaa mmoja anaishi na mke na...
1 Reactions
69 Replies
8K Views
Habari wakuu, Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao. Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi...
51 Reactions
219 Replies
12K Views
Habari za humu wadau, Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako...
28 Reactions
269 Replies
14K Views
Sikia, Umeozesha mwanao, au mdogo wako kaolewa. Elewa huyo hayupo chini ya mamlala yako tena kama ni mzazi. Pia elewa si yule mdogo wako ambaye ulikuwa ukimtuma na kumwambia hivi akawa anatiii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mchana, Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano. Na kama amenikosea basi nikiaza...
11 Reactions
121 Replies
5K Views
Habarin za usiku, Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa. Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane...
9 Reactions
90 Replies
5K Views
Ili nalo mkaliangalie, Baada ya kumaliza karaoke yangu mida ya saa nne, nimekabidhi mic na kushuka jukwaani, ndipo kupiga bia moja tayari kwa safari ya kurejea nyumbani. Nikiwa njiani karibu na...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna dada nilimtokea akawa amesaini, sasa muda sio mrefu kaomba pesa kwa ajili ya matumizi Yani nimeandika limeseji lirefu kujieleza kwamba nitamjali siku za mbele baada ya...
39 Reactions
146 Replies
7K Views
Miaka kama kumi iliyopita jirani alioa mtoto mkali kutoka kwa Kagame, wana watoto. Basi mwaka jana jirani yetu mwingine ambaye pesa si haba mambo yamemnyookea akaoa huyu mke wa mtu (ilianza...
8 Reactions
100 Replies
5K Views
Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa...
7 Reactions
119 Replies
9K Views
Wakuu nimekuja mnipe ushauri na mbinu za kumshawishi. Ipo hivi kiufupi kuna binti mmoja hivi hapa kitaa ni jirani yangu toka ni mu aproch kuna kama mwaka sasa. Na kila akiwa na shida hunicheki...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom