Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wana jf, Natuamina wote mko poa humu ndan. Mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari JF. Natumai mmeamka salama mko na furaha asubuhi ya leo. Jana jioni kijiweni palikuwa na mada hiyo hapo juu. Nikaona leo niendelee kuwashirikisha wana JF wenzangu tujadili jambo hili...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Wajuvi wa haya mambo nielezeni.
0 Reactions
6 Replies
572 Views
Habari ndugu zangu wa JF, Poleni na tozo za watu na gharama za maisha kupanda juu. Binafsi machache kwa mama mkwe juu ya mtoto wake Nashukuru sana amekuza nimemaliza kuchora tattoo ya mtoto...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, Sio siri hii tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi. Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali, Hapa Najihisi hasira Sana, afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu...
23 Reactions
240 Replies
11K Views
Watu wengi huficha makosa kwa kutumia neno bahati mbaya.Kitu kinachopelekea kufanya kosa lilelile,hii yote ni kuamini kwamba mikosi ndiyo huwaingiza matatizoni lakini katika hali ya kawaida,kila...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Shalom shalom Nna mahusiano na binti huyu karibu mwaka wa 4 huu, sifa za huyu binti; 1. Simpi hela, mara moja moja sana tena ni vihela vidogo mno. 2. Yeye ndio anakuja kwangu mara zote mimi...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Mke wangu alitrack simu yangu Kwa kipindi cha miezi 3. Jana ndio nimegundua hilo na kipindi chote hicho alikuwa akiona texts zangu zote, za kifamilia, kazini na michepuko. Naombeni kusikia...
17 Reactions
106 Replies
7K Views
Naombeni msaada mwenzenu mimi nina matatizo nahisi kabisa sijakamilika. Yaani mimi nikiwa na mwanamke mmoja kwenye mahusiano siwezi kutoka au kulala na mwanamke mwingine hata awe mzuri vipi. Na...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Imesemekana kwamba wanaume wanapenda sana makalio makubwa. Je, ni kweli na kwanini? Imani maarufu Inaaminika kuwa wanawake walio na muundo wa mgongo uliopinda wanaweza kusawazisha uzito wao...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Hivi watoto wa kike hamuwezi kabisa kuishi kwa vipato vyenu mpaka muombe ombe hela kwa wanaume? Yaani hamuamini mnaweza mkawa self dependent bila wanaume? Ni kwanini mnageuza miili yenu kuwa...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Mambo vipi Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili. Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kauli za navumilia kwa sababu ya wanangu na nyingine kama hizi zimeua nafsi na mili ya wanawake wengi.. Infact wanawake ni wahanga wa ndoa kuliko wanaume Kulinda heshima: Ni utamaduni wa kurithi...
54 Reactions
228 Replies
16K Views
Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi. Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kijadi, wanaume wa Kijaluo walifurahia hadhi ya juu katika jamii kulingana na idadi ya wake waliokuwa nao. Wazee walipokusanyika ili kufurahia pombe ya kienyeji, walikuwa wakiketi ndani ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Ndugu zangu nimekuja kwenu tena siku ya leo. Kwa watu wasionifahamu mimi ni Mtafiti wa Mambo ya kitamaduni na Mambo ya kale. Nilisoma Degree yangu ya kwanza ya mambo ya Sanaa hapo chuo kikuu cha...
1 Reactions
81 Replies
54K Views
Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea...
14 Reactions
81 Replies
5K Views
To be honest, wanawake hawanaga lolote la kutufaa sisi wanaume kwenye mahusiano apart from sex.Yaani kutwa kucha tupo kuwahangaikia Wanawake eti kisa utelezi tu.Unajikuta umevutiwa na mwanamke...
16 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari wana jamii, kuna mwanachuo mwenzangu anaitwa Merry nimeanzisha mahusiano naye yapata wiki tatu sasa. Ila kila ninapo fikiria kufanya naye mapenzi naona kama mda bado na atahisi nina plan...
0 Reactions
69 Replies
3K Views
Back
Top Bottom