Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume...
19 Reactions
89 Replies
5K Views
Manara yule milioni 20 Kifungo cha miaka 2 Mama anaupiga mwingi saana JPM ni dume kweli kweli Yanga hivi simba anafungwa na Barcelona na lewandowski wana funga benzema ni atari kweli sawa...
1 Reactions
12 Replies
648 Views
Mjane mmoja huku kitaa aliyefiwa na mumuwe na kuachiwa mi mali yakushiba ikiwemo mi jumba ya kifayari, mindinga ya maana na ma maduka ya ujazo yote amegoma kurithiwa na shemeji yake. Shemeji mtu...
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa...
3 Reactions
14 Replies
930 Views
Hatimaye nimeupiga mwingi aisee[emoji12]. Baada ya kumaliza kidato cha nne mwaka x, nilipata chance ya kufundisha shule ya private ya msingi kuanzia mwezi December hadi July wa mwaka uliofuatia wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
WanaMMU, Hili ni bandiko la kuhamasisha utulivu ndani ya ndoa kwa baadhi ya makabila, ambayo wanaume wao kuchepuka, ndoa za mitala na kuwa na wanawake wengi wanaona sifa bila kujua kuwa sio tuu...
7 Reactions
31 Replies
33K Views
Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi. Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume...
1 Reactions
4 Replies
581 Views
Huku kijijini Rondo nibaridi bado. Ngoja niandike haraka asinione. Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu. Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu...
5 Reactions
18 Replies
640 Views
Mara kwa mara nimekuwa nikipenda kuweka visa vinavyogusa maisha yangu hata marafiki na ndugu zangu ili mpate kitu cha kujifunza hapa Mdogo wangu wa kiume ana mwanamke ambae alimuoa mwaka 2017, ni...
92 Reactions
172 Replies
16K Views
Sikuwahi kuwaza furaha ya penzi letu litazimika na giza kutanda. Hakuna tena Ile excitimate, sina tena lile vibe la kuonana nae, mazungumzo hayanipi tena furaha,na mbaya zaidi ata faragha mzuka...
15 Reactions
156 Replies
8K Views
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza. Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa...
19 Reactions
171 Replies
7K Views
Wakuu nimekuwa kwenye mahusiano na binti kutoka Mgeta - Morogoro. Sasa wazazi hawataki kusikia kabisa hii habari.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habar wakuu Kama kichwa cha habari linavoelezea binti yangu umri mwaka na miezi 5 akilala usiku karibia woote anastuka stuka nakulia uku akitaja dudu dudu tumejaribu kwa usiku kumpaka vitunguu...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana MMU, Natumaini mu wazima wa afya. Nchi ya Kusini mwa Afrika (S.A) imejizolea umaarufu zaidi kutokana na aina ya nyimbo na midundo inayojulikana kana AMAPIANO. Sio kwenye sherehe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye...
5 Reactions
114 Replies
12K Views
Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?
39 Reactions
1K Replies
72K Views
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
#Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi. #Mwanamke Malaya hujifanya...
22 Reactions
60 Replies
7K Views
Habar wana JF, Wanawake Wana lugha zao flan hivi ambazo huwachanganya Sana wanaume wengi, unajua inakuwaje? Nakupa mchongo ufuatao, wanachoongea Sicho wanachomaanisha na hapa ndo wanaume tunapo...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke. Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na...
15 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom