Leo nimeamka na hangover baada ya kupiga pombe sana jana mara tu baada ya kuwasulubu wale Berkane
Ila tabia ya kula wake au waume za watu sio nzuri wala nini.
Kutoka kimapenzi na mke au mume wa...
Habari za wakati huu wapendwa
Tafuta pesa kwa nguvu zote ila nimeanza kuamini ule msemo wa wahenga kwamba kipato huleta majivuno.
Sio simulizi imetokea kweli kabisa kwa baba mmoja ambaye ni...
Kama mtu humpendi hebu jitahidi muachane kistaarabu bila kuleteana shida yeyote au madhara kwenye maisha haya tunayoishi.
Kama ni mwanaume anadai mahari yake mrudishie msije kuumizana bure kama...
Hebu soma huyu anavyotaka kugonganisha magari. Kwa hali hii mauaji ya wivu wa mapenzi hayatoisha
[emoji1484]
Mwaka juzi alianzisha mahusiano na kijana flan hapo hapo nikapata mwanaume mwingine...
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu...
Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu.
MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio...
Huwa na tatizo la kupenda na kutamani wanawake wazuri wazuri; nimejaribu kulikemea hili pepo, lakini haliondoki.
Mwezi uliopita, nikiwa kwenye mishe mishe zangu, nikakutana na dada mmoja, ni mtu...
Niende moja kwa moja kwenye mada
Kipindi ambacho wanawake walio kwenye ndoa wanachepuka kwa urahisi ni kile kipindi ambacho wana ndoa wapo kwenye mgogoro na mwanamke yupo kwao anasubiŕi hali...
Nlilitokea kumpenda sana huyu mwanamke sana na kumsaidia hapa na pale pesa na baadhi ya mambo mengine lakini Cha ajabu mimi niliomba anisaidie kiasi kidogo Cha pesa ananiambia nisimzoee kabisa...
Mke wangu mwenye watoto wawili, ana niota mara kwa mara na hunisimlia ndoto zake kila anavo ota ila kwa asilimia kubwa zina ukweli, ila bado na mkatalia tu kama Wanaume tulivyo,
Leo asubhi...
Hivi haya mambo ua na kwenu au ni kwangu tu
Sasa hivi nina miaka 2 toka tuachane na X mke wangu
Ila cha ajabu bado familia yao wananichukulia kama mwana familia wao tu
Habari zote za familia bado...
Habari ya siku nyingi ndugu zangu, ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja
Masuala ya ugomvi na migogoro ya ndoa kwa wazazi wetu ni mambo ambayo huwa tunakumbana nayo mara kwa mara na kwa asilimia...
Mzazi ukiwa Na watoto wa kike Na watoto wa kiume walio fikia umri wa balekhe hakikisha unaweka ukuta Kati Yao ili usije kupata hasara.
Dunia ya Sasa hivi watu hawana maadili kabisa. Maadili ni...
Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu.
Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom...
Habari wakuu
Nimemwambia anambie ukweli,na hayo ndio majibu yake
Roho inaniuma kuthibitishiwa ila aina noma,uzuri nlishamtoaga kwenye mipango tangu nlivofuma sms za washkaji kwenye simu...
Tabia ya hii familia ya mke wangu nashindwa kuielewa.
Alianza mama Mkwe kuja nyumbani kwangu bila taarifa,siku hiyo nimejipumzisha chumba cha wageni nashangaa naitwa na mama Mkwe hapo nipo na...
Labda macho yangu yanaweza kuwa na matatizo kwa hiki ninachokiona mitaani siku hizi.
Nahisi kuna asilimia kubwa sana ya dada zetu wapendwa kutoboa pua na kuvaa vipini sijui kuna siri gani au ni...
Imeniuma sana japokua nina wife. Aiseee nilikua nakalia timing, leo nimekafuma kanatoka vichakani kwenye kinjia kwenye giza totoro na msela, namimi nikakamulika usoni makusudi na taa ya pikipiki...
Ngugu zangu naombeni ushauri,
Mwaka mmoja uliopita nilianzisha mahusiano na bongo mmoja hivi, ukweli alipenda kwa dhati na nikajivunia kua nae. Lakini kuna muda fulani alikuwa ananiuliza kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.