Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi. Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka...
6 Reactions
277 Replies
9K Views
Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa. Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA...
19 Reactions
126 Replies
9K Views
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto...
20 Reactions
124 Replies
7K Views
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na...
7 Reactions
104 Replies
6K Views
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano). Nimetumia njia nyingi Sana za...
16 Reactions
137 Replies
14K Views
Wakuu habari za mida hii. Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika...
17 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari za leo wanajamvi! Nipo njia panda naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumkomoa huyu denu! Ishu ipo hivi, miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma chuo UDSM, nilitokea kumpenda msichana amabaye...
5 Reactions
166 Replies
12K Views
Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Unajua tabia za Wafaransa na watanzania zina mfanano fulani hivi Wafaransa ni watu fulani some time unaweza kusema hawanaga siriazi na maisha yaani ni watu ambao wana sapoti saana ujinga na niwatu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu poleni na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa Binafsi nimeshindwa kuelewa hii tabia ya mwanamke kutoa namba ya simu kwa mwanaume mwingine wakati anafaham kabisa kifuatacho hapo ni...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri. Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda...
11 Reactions
114 Replies
7K Views
Habari wakuu Naimani wote wazima Mungu anatupigania Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea. Sasa kuna Pisi moja ya kwenda...
9 Reactions
103 Replies
5K Views
Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeanza kesi ya talaka tokea 2018. District court wakafanya hukumu ikaisha. Mwenzangu akakata rufaa high court. Huku ndiyo shida kesi imekaa kama vile inasikilizwa upya kiasi mpaka mwanamke...
2 Reactions
10 Replies
709 Views
Heshima mbele waungwana mimi ni kijana wa miaka 25. Kilichonifanya kuja hapa ni kuomba msaada wa kimawazo kifikra. Kwani najua hapa kuna watu ni wajuzi sana naomba msaada kwenu nyote me/ke usipite...
7 Reactions
141 Replies
30K Views
Ilikuwa 2016 nilikutana na huyu mwanamke wangu shuleni tulikuwa tuna soma wote kwa bahati nzuri nikabahatika kuwa rafiki yake na mwaka 2018 tukawa wapenzi baada ya kuwa wapenzi kwa bahati nzuri na...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu zangu kila mmoja wetu achangie mada hii ili tupate kiini cha swala hili. Kuna baadhi ya wanaume wametunza watoto ambao si wao, kuanzia mimba mpaka ukubwani kwa kuwasomesha kwa gharama kubwa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni kawaida na ni mara nyingi utasikia mwanaume usipo control matamanio yako kingono utaishia kwenye majuto makubwa. Niliwahi kuambiwa simple definition ya nyege ni "Kurukwa na akili kwa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom