Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
If you didn't disvirgn your wife, then at least one of your children isn't your own. Prepare to spend your hard earned money on child that you didn't father. Note that as soon as her ex shows...
6 Reactions
8 Replies
531 Views
Wakuu,kwa kautafiti nilikokafanya,nimegundua kwamba wadada wengi warembo hawapendi kabisa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume ambao ni walimu!hvi ni kwa nini?
0 Reactions
117 Replies
17K Views
Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wana JF niende kwenye mada Wengi wetu tumekua kwenye uhusiano wakimapenzi kwa nyakati tofauti tofauti licha yakua na mausiano nama binti kadhaa kwa nyakati tofauti nimegundua Kuna shida...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Ni mke wa rafiki yangu, ila shida sasa mazoea yamezidi sana, kutwa kujibebisha bebisha na meseji zake za mchongo, Vinguo vyake vya mtego anavyonivaliwa nikiwa nawatembelea ni hatari, Juzi tu hapo...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, watu baadhi wameingia kwenye ndoa na watu sahihi ila mitazamo yao juu yao sio sahihi, wapo wameingia kwenye ndoa sio sahihi kwa sababu ya mitazamo...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Ulimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali, anapendwa pamoja na mwanao, na mtoto wako yupo ana go kwa school bus 🚌 na analipiwa ada kubwa, lea mwanao...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Wadau, Nimefunga ndoa baba mkwe ametupa kiwanja Dar jina la mke wangu kipo karibu na kiwanja cha wakwe zangu. Sasa hivi nimekopa ili nifanye ujenzi kwani tuna viwanja viwili cha kwangu kabla...
4 Reactions
144 Replies
17K Views
Katika nyakati hizi hizi za miaka hii kulikuwapo na muuza matunda nadhifu na msomi. Ambaye alikuwa mpya katika biashara ya uuzaji matunda sokoni. Alianzisha biashara kubwa na ya mzigo mkubwa na...
14 Reactions
11 Replies
3K Views
Bosi kaingiwa na huruma baada ya kumuonesha ile meseji ya mke kwamba navyosafiri anafanya upuuzi. Bosi kasema nisisafiri kesho, badala yake nisafiri jumatano jion, kwanza nihakikishe namalizia...
8 Reactions
107 Replies
13K Views
Kumekuwa na malalamiko sana ya kimahusiano. Wenza wakilalamika kushindwa kufika katika ndoto za mahusiano bora yaani ndoa na kuanzisha familia na kudumu milele hadi uzee. Hii ni kweli inatokea...
32 Reactions
63 Replies
4K Views
Hope mko poa, Naomba niende kwenye mada na niombe radhi kwa uandishi. Mwezi uloisha yani July nilienda kikazi moro. Na hapo kuna kaka zangu wa damu ingawa sikupenda kufikia kwao, badala yakufika...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Naomba niende Kwenye mada. Jamaa yangu kaishi na mchumba wake kwa miaka10 bila ndoa(2012-2022). Waliishi pamoja maisha mazuri japo vimgogoro vya hapa na pale vilikuepo. Sasa tatizo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Natumaini wote mko salama, Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu kuwa na ujauzito wa mpenzi wa zamani ilihali niko katika ndoa. Uzi wenyewe huu hapa; Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na...
26 Reactions
613 Replies
43K Views
Habari ndugu wadau wa JamiiForums Mimi nina mchumba ambaye tumedumu naye kwa mda wa miaka mitano (5) mpaka sasa bado hatujafunga ndoa ,ila malengo yetu bado yako pale pale. Tatizo linakuja pale...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri. Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu...
4 Reactions
84 Replies
6K Views
Sensa safii, natumai baadhi yetu tumeshatembelewa na makarani wa sensa kwa ajili ya kuchukua details zetu na wengine tumeshiriki nao chakula cha mchana. Twende kwenye mada husika kizazi changu...
10 Reactions
108 Replies
5K Views
Nawasalimu nyote, Ni baba angu mkubwa kabisa, ni mstaafu mpya kutoka serikalini ana mwaka ivi na miezi kadhaa uraiani. Akiwa kazini alioa na kupata watoto wanne, mambo yalikuwa POA tu amani na...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanawake aisee Mungu awape hustahimilivu mkubwa sana na jicho la kuona mbali saaana, maana najua changamoto ya wanawake wanashindwa kuchagua mtu sahii wanajikuta wanachakazwa na wakware mbalimbali...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwanza heshima kwenu wakubwa,naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Kule facebook nina group langu lina watu elfu 60 ila wengi ni wanawake na hii ni kutokana na mada ninazoweka mle zinavutiwa...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom