Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu nipeni ushauri nina jirani yangu hapa tumepanga nae sasa yeye kila sku analeta demu na huwa anatumia vigra maana wanaanza mapenzi kuanzia saa nne Hadi asubuhi hapumziki na mimi hapa...
20 Reactions
76 Replies
7K Views
Ukipitia profile yangu utakutana na umri wangu. Iko hivi, mimi kiukweli nimekulia katika malezi flani mpk nikiwa form six Moshi Tech mama alikuwa akiniita padre wa familia. Sikuwahi kula mbususu...
15 Reactions
77 Replies
9K Views
Vijana wengi au watu wengi hili hulipuuza na kutazama hali nzuri ya anayetaka kumuoa au kuolewa naye. Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia vijana, "kuna dhahabu zimejificha kwenye tope", hadi...
15 Reactions
26 Replies
2K Views
SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI. Anaandika, Robert Heriel. Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye...
29 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimepitia mahusiano kadhaa, kiukweli linapokuja suala la kuheshimu hisia za mtu mimi nipo makini sana hii imekua ikinifanya niwe mwaminifu sana katika mahusiano yangu licha ya kupitia vishawishi...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15. Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive. Nimeomba mzigo kasema fresh...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Nafikiri baadhi yenu humu mmeoa na kuolewa ila kuna suala moja la wake zetu kufanya vitu ambavyo nitofauti kidogo hasa kwenye ndoa. Unaishi na mwanamke kutokana na mazoea ya...
17 Reactions
75 Replies
6K Views
Vyuoni wangefundisha tu hii kozi ya women affairs Jana nimechakata mwanamke boss mkubwa sana wa wizara fulani kaja hotelini na STK, dereva yuko nje anamsubiri mimi nillienda na bajaj nikaondoka...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habarini za jpli natumahi mpo poa kabisa kama mh Sabaya anyway nije kwenye point. Kuna ka demu kamoja kameamia nyumba niliyopanga kapo chul sasa kiukweli toka kameamia hapa ni nyumba...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Salama? Muda huu ninapoongea mama mmoja ambaye nimezaa naye mtoto wa kiume amefika hostel kwangu na mwanangu huyu wa kiume. Nimelia machozi kwani tumefanana ila kiasi kafanana na mama ake. Huyu...
10 Reactions
126 Replies
10K Views
Nilikutana nae mwaka 2018 tukawa karibu sana kuchat na kupigiana simu kila muda, Mimi nilivo nikiwa na relation na care sana asubuhi ntakujulia hali mchana na jioni ndivo nilivo Huyu mchepuko...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna demu mmoja ni kama RFK angu sana sasa amekuwa akimpondea jamaake kwangu Mara jamaa hajui mapenzi Mara aniombe ushauri kuhusu mapenzi yake lakini pia kama nikiwa nimempost demu yoyote status...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika...
35 Reactions
67 Replies
5K Views
Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao... Masimango na kuchagulia waume au wake...
36 Reactions
247 Replies
10K Views
Nadhani hii wengi imetukumba kama wanaume, unakuta umemkamatia mrembo kifo cha mende lakini yeye yupo kuchat Instagram na WhatsApp unajiuliza inamana hapa nacheza bolingo ama. Mbona namtia bakora...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa. Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa...
8 Reactions
146 Replies
9K Views
Wazazi wenye watoto wakiume. Dunia imebadilika hii, wafundisheni watoto kazi za nyumban, kuna leo na kesho. Sio kazi za nyumban ziwe za watoto wa kike tu. Dada yangu kapata wageni shemeji zake...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni ukweli, baada ya juzi dushe kugoma kuamka nilikuja na uzi hapa ukisema mwanaume mwenzenu leo nimeaibika hatimae ile aibu nimeivua Yes baada ya kushindwa kumfanya chochote yule mrembo Latifa...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanaume hebu kwanza tujadili hili jambo Leo hiyi ukiomba mahusiano na mwanamke, awe mdogo au mtu mzima, Likija suala la kufanya nae sex lazima hapo ajione u special wa mwanamke kana kwamba kile...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakuu naombeni msaada wenu, ni kijana ambae nimo bellow 27..., nmekua na wasichana tofauti kwenye mahusiano, ukiachana na hilo nina mmoja ambae niko nae very close. Shida ni kua nmefanya nae...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom