Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huu uzi unahusu jinsia zote mbili me na ke Hivi ukigombana na mwenzi wako ama mkipishana lugha huwa unachukua hatua gani ili kuumaliza huo ugomvi? Na unaweza kumshauri me ama ke mwingine ambaye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
How it feels to meet someone who was once in love with your wife or love, the man whom your wife/love was once madly in love with him, doing all stupid stuffs? The man who sees your wife through...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Jaman kwa wale tuliolelewa na single mother, kwenye harusi baba akija inafaa apewe zawadi gani?
0 Reactions
15 Replies
989 Views
Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa. Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Nikiwa sina hili wala lile kwa siku hii iliyoanza vyema kuliko ilivyokuwa kwa siku mbili nyuma ambazo kiukweli ni ngumu kuzielezea lakini itoshe kusema zilikuwa mbaya sana. Asbuhi ikakucha huku...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata. Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe. Bwana harusi...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja...
113 Reactions
1K Replies
67K Views
Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu...
7 Reactions
188 Replies
29K Views
Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Nawasalimu nyote wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye maada, Ilikuwa mwaka furani nilipata demu mtaani kwetu aliyekuja kuishi kwa shangazi yake akitokea mkoa fulani hivi, Nilipomtongoza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanawake wengi wanatabia ya kudanganya kuwa wamefika kileleni kumbe hata kileleni kwenyewe hajuwi ni wapi. Mara nyingi wanatumia mbinu ya kudanganya kama wanafika kileleni kwa kupiga kelele za...
14 Reactions
138 Replies
48K Views
Kaomba kuja kunitembelea mageto… Nikamuenesha haya vyombo vile pale anza kupika. Binti kaanza kuulizia mchele uko wapi? Mimi… ule pale. Upawa uko wapi? Mimi…. Ule pale. Mara akashika sufuria...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Hivi vitu nimekuja kutambuwa siku hizi Mwanamke ukimuonga pesa kwa kufikiri pesa zako ndo zitafanya mtoto wakike akupende au akuvumilie my friend umepotea. Ila ukimsaidia mwanamke pesa bila...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika pitapita huku na kule jamaa akajikuta amezaa na mchepuko, jamaa akamwambia mtu wake"nitamjengea nyumba mtoto tutapangisha ili pesa za matumizi na mambo mengine zitoke huko na pia huo...
39 Reactions
89 Replies
8K Views
Nilioa mnamo mwishoni mwa 2020 kwa ndoa ya kulazimisha. Kifupi ndoa hii haikuidhinishwa kwa moyo mmoja na wazazi wake, isipokuwa Babu yake na bibi yake ndio waliisimamia kidete, na kunisapoti...
10 Reactions
81 Replies
8K Views
HABARI wakuu. Leo nakuja tena kwenu wana jamii najua siwezi kosa ushauri, maoni ya namna yeyote nayoweza maliza hili tatizo langu linalonisumbua kwa sasa. Iko hivi nina mpenzi wangu niliedumu nae...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali. Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa...
52 Reactions
128 Replies
13K Views
Kwa ufupi sana. Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo...
108 Reactions
213 Replies
14K Views
Back
Top Bottom