Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Back then na uhuni wangu full kubadirisha mboga Kuna huyo mdada nilimchukulia poa saaana yani japo yeye alitokea kunipenda na kujitunza kwa ajiri yangu kwa maelezo yake. Basi nilikua Sina hata...
65 Reactions
60 Replies
11K Views
Wasalaam Wakuu, Basi tu nimeamka nawafikiria bros mliooa na mpo kwenye ndoa muda mrefu na ndoa zenu bado zina furaha na amani, heshima kwenu. Bros mlio kwenye ndoa hata kama zina wiki tatu ila...
21 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu.. mimi sio mwandishi mzuri sana mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea . Nilikuwa naomba ushauri bila kupoteza mda . Mimi nilingia kwenye mahusiano na Binti mmoja Ambae tulidumu...
16 Reactions
160 Replies
10K Views
Nitawasalimu baadae, Hivi wanaume wakisukuma ndio mupo hivi au nihuyu tu mjuba wangu,,nitall mweusi,pesa ipo kiasi chake sihaba!!tatizo linaanzia hapa nimwaka wapili Niko nae huyu jamaa hajui...
16 Reactions
257 Replies
13K Views
Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife...
31 Reactions
268 Replies
10K Views
Asili ya dume ni kumiliki majike wengi, iwe kwa wanyama, ndege, hata binadamu pia. Kinachotufanya tupoteze asili yetu, ya kutokumiliki wake wengi ni sababu za kiimani na kiuchumi, ambazo...
17 Reactions
247 Replies
11K Views
Habari za asubuhi ndugu wananchi wa jukwaa hili pendwa. Miongoni mwa mambo yanayo nikosha kipindi cha kujamiiana ni zile mbwembwe za mademu. Kwanza kuna wale wanao lia kila mmoja anakuwana na...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndo hivyo wanaume , wanawake wanapenda kusikia Maneno mazuri ya Mahaba kutoka kwenu yenye kuamsha hisia za mapenzi. Sweet umependeza, tangu nikuoe hadi leo utafikiri hujazaa uzuri wako hauchuji...
5 Reactions
270 Replies
36K Views
In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine...
3 Reactions
9 Replies
705 Views
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda. Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto...
14 Reactions
100 Replies
5K Views
Bado nipo nipo sana. Habari great thinkers. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ni rafiki yangu wa karibu sana, ndoa yake ina miaka miwili 2. Amekuja kwangu kuniomba ushauri. Kwa uwezo...
1 Reactions
172 Replies
32K Views
Habari zenu Kumekuwa na mijadala mingi kwenye jamii kuhusu 50 kwa50 kwenye swala la kuchepuka Kati ya mume na mke. Wengi wanaotetea hoja hii Wanadai ikiwa mwanaume hajatulia kwenye ndoa haina...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani...
21 Reactions
96 Replies
42K Views
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu, nimegundua mwanamke niliyenae kwenye mahusiano anatembea na mume wa mtu tena kwa siri sana. Hali hiyo imenifanya nibaki dilemma maana ananificha pia hajui...
8 Reactions
115 Replies
11K Views
Nina ujauzito wa mume wa mtu, sikujua kama kaoa, nifanyeje?
5 Reactions
424 Replies
32K Views
Salam ya kazi gani tuna mambo serious ya kujadili, twende streight kwa mada husika. Duniani kuna mambo mengi ya kushangaza ila pia kuna watu wa kushangaza. Kuna mambo ya kusikitika kwayo na kuna...
17 Reactions
93 Replies
5K Views
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi Lakini toka tuachane mpaka sasa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana Jf. Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho. Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Watoto ni baraka ndani ya familia; wengi wanatafuta watoto na wengine hukosa kabisa kupata watoto, na hatimaye kukimbilia kulea watoto wa ndugu au wa jamii nyingine. Watoto wakiwa wadogo huwa ni...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau, Sina uhakika sana juu ya tabia hii...ila ninakila sababu ya kusema vijana kwa watu wazima wengi wanapenda kupita kwenye tovuti za kikubwa...kwenda kujifunza baadhi ya mambo ya faragha au...
7 Reactions
435 Replies
93K Views
Back
Top Bottom