Wakuu habari zenu, kwema, wazima humu!
Ngoja twende kwenye mada.
Ni hivi nina mke nimeoa tangia mwaka 2013 tumebatika kupata watoto 4 wa kiume 3 wa kike 1.
Wakuu kabla sijamuoa mke wangu...
Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la...
Hapa ndo nilithibithisha kuwa mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawahi kuyapata tena na naomba yasijirudie, yaani huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini.
Kwa mara...
Hello wanajamii
Bila shaka muko salama, huku tukiendelea kusubiri uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika August 9,2022
Ee bhana tuache story mingi mwaka 2016 nilipataga kademu kakenya alikuwa...
Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi!
Nikakaa chini na kutafakari kama huyu ninayetaka kumuoa...
Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapumziko ya weekend bila stress!
Twende kwa mada! Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa...
We have been told to be sad about death, but I have never felt sadness when a close one dies. I usually induce myself into an emotional state of expressing sadness, out of respect for people...
Nawasalimu nyote.
Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao.
Pale kwao ni mabingwa wa...
MBINU ZA KUTOKUCHEPUKA KWA KARNE 21 - 22
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Ikiwa wewe ni mvivu soma kwa urefu wa kamba za akili yako.
Hakuna mtu mwenye akili timamu, muadilifu na aliyestaarabika...
Habari.
Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili.
Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini...
Tokea nijiunge kwenye jukwaa hili nimejifunza mambo mengi sana, Jambo moja la msingi nililo jifunze na nimelizingatia na kuona matokea yake ni kuto kuwapa pesa wanawake hovyo iwe kwa njia ya...
Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.
Zamani pombe...
Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa
Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake...
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu...
Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh,
Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa...
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja...
Daah... asubuhi asubuhi leo nimeshuhudia kituko, Mstaafu akionja shubiri ya huba baada ya kuhonga nauli yake ya Daladala. Picha lilianzia kituo cha Daladala cha Njia Nne, anapanda msichana wa rika...
Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika.
1. Je sababu zinaweza kuwa Nini?
2. Je kama...
Salute commrades.Leo naomba nichukue hii fursa kuwaeleza jinsi ya kuijua thamani yako kwa watu wanaokuzunguka kwa njia 3 zifuatazo;
1.Zawadi utakazopewa na watu wengine; Kwa mfano ukiwa...
Ukiwa kama kijana wa kike au kiume na uliwahi kufanya makosa huko nyuma ukajiingiza kwenye mahusiano ambayo yalikupa maumivu na yakaharibika, wakati mwingine ukiwaza kuingia kwenye mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.