Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua...
12 Reactions
174 Replies
11K Views
Huyu ni binti ambaye nimekua nachat nae sana, iwe whatsap au msg za kawaida. Nina siku kama 21 hivi naye. Amekuwa akikataa, sasa nikawa natumia uanaume kumshawishi. Akaniambia nyie walimu ni njaa...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Kwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo...
20 Reactions
123 Replies
6K Views
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane. Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata...
12 Reactions
185 Replies
11K Views
Asia tunaishi nae mtaa mmoja hapa kwetu Kwamtogole. Ametoka katika familia ya waliostaarabika sana. Huko shuleni alikutana na Daudi kijana na walianza urafiki wakiwa A level. Daudi alipata...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mchumba wangu, mama wa mtoto wangu kakata kamba, hataki mawasiliano wala upatanisho. Aliniandikia ujumbe mmoja tuu akieleza kuwa, majukumu yangu kwa mtoto nifanye kama kawaida, chakula, matibabu...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Wakuu habari? Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2. Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani...
9 Reactions
195 Replies
15K Views
Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA...
7 Reactions
79 Replies
4K Views
Oya we, fresh lakini? Miezi kama sita nyuma nilipata Dem mmoja Safi alikuwa anasomea Nursing chuo flani. Nilipambania kumpata hadi nikafanikisha, c wajua tena. Ila kunipa gemu alikuwa anazingua...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😥 Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz...
33 Reactions
253 Replies
9K Views
Ni muda sasa niko naye. Ananiamini fika, na istoshe kashanijulisha michongo ya hapa na pale ambayo humuingizia kipato. Siku nyingine hunialika ofisini kwake, natulia pale asubuhi mpaka jioni...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna binti ambaye ni mpenzi wangu bado hajawa official wife ila natarajia atakua mke wangu soon. Wakati nimelala ndani getho yeye akiwa na marafiki zake wawili wa kike wakiendelea na story zao...
106 Reactions
197 Replies
19K Views
Achana na nyota sijui nini mara nge mara ndoo sijui maji/moto etc!! , kule tena mbali sijui herufi za majina mara sijui jina la mama, kabila etc............ kuna njia rahisi sana ya tena...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanaume huwa tunawathamini wanawake ambao huonesha kufurahishwa na hata yale mambo madogo tunayo wafanyia,Kwa kufanya hivyo huwa tunawapa thamani ya juu na kuzidi kuwapenda,chukulia mwanaume...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, Ni hivi karibuni tulialikwa kuwa binti anavishwa Pete. Ajabu ni kuwa binti hakufanya sherehe ya mahari day nyumbani kwao kwa kisa eti ni uswahilini...
6 Reactions
72 Replies
4K Views
Habari zenu Thinkers. Kwa mwanaume aliefikia miaka 35. Je Ushauri gani unaweza mpatia. Kuwa free kwenye maeneo yote ya Maisha. Afya, Uchumi, Social, Spiritual. Karibuni sana.
5 Reactions
48 Replies
8K Views
Popote ulipo Happy uliniweza. Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo. Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndugu wadau, ndugu wana jf. Majuzi hapa kijana mwenzenu nilikuwa nimelala na familia yangu kwenye usiku wa saa saba hivi nikapigiwa simu na namba ngeni, kwa kuwa nilikuwa nimezidiwa na usingizi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu! Ningependa mnisadie kwanini Kwenye suala la kutembelea ndugu, hasa wale wenye uwezo wa kifedha. Mama wa familia ndio huonekana kikwazo cha Mahala pale kutofikika hasa...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom