Nilishawahi kuumizwa sana kimapenzi enzi hizo lakini kuna hawa wawili hadi leo sijawahi kuwasahau, Spice na Cathe (si majina halisi)
Huyu Spice alinionyesha kunipenda sana lakini alikuja...
Wana Jf, poleni kwa majukumu! Najitokeza kwa mara ya kwanza kuomba ushauri!
Nina mpenzi kwa miaka 4 hivi na tuna pendana sana. Kwa muda wote huu tulikuwa boy friend na girl friend. Mwez uliopita...
Mwanamke akitaka kujua swala la kuolewa ni tete zaidi ajaribu kuzaa kwanza na mwanaume asiye na mpango nae afu aone kama ataolewa kirahisi hata kama ni mzuri na anatabia njema,ndio mana nikasema...
Wazee wa kuchakata na ku experience. Mnasemaje?
Kuna wadau wanadai za wanawake wa DSM zimepoa sana hazina joto kama za wa mikoani. Zina ubaridi fulani hv.
Tupeane uzoefu....!
Source: African countries to find most beautiful women and good wives - Afrinik
There are a lot of young individuals in Africa, both male and female. There are many stunning women in the black...
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???
Hapo mwanzo...
Katika harakati za kutii sheria mpya niliyojiwekea ya kuachana na mahusiano ya kimapenzi kutokana na mahesabu niliyoyabaini ya kupoteza si chini ya 180,000 kwa mwezi ili kumpatia mtu ambaye ndani...
Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi""
Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta.
Sasa huyu...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine...
Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule.
Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani...
Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose...
Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .
Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu...
Kuna siku nilileta uzi kumuhusu, mrembo mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano; ila kutokana na kuwa na mambo ya gharama gharama tukajikuta tumetengana.
Kwa bahati mbaya, katika kutengana huko...
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo...
Za asubuhi wakuu,
Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha...
Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote.
Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado...
Nilifungua channel ya Arise and shine Mwamposa alisema ambao wanatafuta mchumba wasimame walikua wengi sanaa.
Nikawa nawaza kwanini sasahivi kundi kubwa la wanaume hawataki kuoa? Na kwanini...
Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto.
Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa...
GREETINGS
Eeeh bwana eeeh is me Mr. Liverpool again A.K.A YANGA BINGWA!
Baada ya salamu tuelekee kwenye hoja.
INTRODUCTION
Mwenzenu baada ya kuona ajira hainifikishi kokote niliamua kufungua...
Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani.
Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.