Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Breaking: Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe. Mchezajini wa Orlando Pirates Tendai Ndoro (36) amepoteza Mali zake zote...
10 Reactions
107 Replies
10K Views
Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana. 1. Anaweza kuvaa brazia zako . 2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani . Naakiharibu kitu anasema kwani...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari ndugu wapendwa Katika maisha ya siku hizi kati ya wanawake 10 basi kuamini mmoja tena awe mama yako mzazi tu hawa wengine achana nao kabisa ni wezi na waongo. Nimeamua kusema haya sababu...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima . Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna Jamaa alikuwa akiambiwa na mkewe, huyu Aisha vipi mbona anajiachia sana kwako hakuheshimu Kama Mjomba wake? Jamaa akawa anamjibu mkewe acha mambo ya kipumbavu, Sasa wewe unahisi nini mpaka...
12 Reactions
54 Replies
5K Views
Sijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya. Mimi ni kijana 29yrs, nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti, na kitandani nilikuwa vizuri sana kitandani. Mwaka 2020...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani nimemmisi ex's wangu najaribu kumsahau ila haipiti week bila kuchungulia kwenye Account yake ya Instagram amepost nini, kila siku anazidi kupendeza kama vile nilikuwa namtesa, najaribu...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau habari, Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni kwanini Wanawake wa nchini Uganda, Namibia na South Africa maumbile yao ya Kibaiolojia ( Mbunye ) huwa yanabana sana pindi unapokuwa unafanya nae Mapenzi na ' utelezi ' huwa unausikia kwa ndani...
11 Reactions
240 Replies
31K Views
Habari za mda huu wapendwa natumaini ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kujenga taifa. Kwa upande wangu nipo tayari kuhesabiwa. Kuna watu wapo katika hali ya kukata tamaa kabisa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya bar mameneja wanajua kuchagua bana. Na hapa nshakula wawili. Hawajijui. Nimekula watoto wa jikoni Hadi cashier. Kondomu ndio silaha namba Moja. Acheni bana Kuna Watoto wazuri hapa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu Ni Kwamba asilimia kubwa ya wanaume kamwe hawawezi kuwaoa wanawake/ wachumba wao waliosota nao kipindi kirefu. Wanaume tunafeli Sana kwenye hili suala.Binafsi...
9 Reactions
70 Replies
6K Views
Watu wa Jamii Forum Salaam, Naitwa Mfukuza Ndoto, Nina umri wa katikati ya ujana naishi mkoa fulani kanda ya kati. Basi bwana mnamo mwaka fulani nikiwa na 20+yrs nilitokea kumpenda binti fulani...
33 Reactions
266 Replies
44K Views
Mpango wa shirika la afya Dunia WHO hadi kufikia mwaka 2030 na kuendelea ni kuhakikisha wanauzuia maumbukizi mapya ya HIV Duniani Yani Kwa lugha rahisi ni kwamba kufikia hiyo mwaka shirika la afya...
0 Reactions
4 Replies
578 Views
Kwenye maisha yetu ya kila siku kila mtu ana vipendeleo vyake(preferences), mtu kusema preferences zake wala hakuna ubaya wowote. Mimi kwenye mahusiano siwezi hata kwa bunduki kutoka na aina hii...
22 Reactions
155 Replies
16K Views
Mimi ni mgeni kidogo hapa ingawa nimeanza kusoma threads za JF kitambo kidogo ila sikuwahi ku-sign in mpaka hapa juzi juzi tu nilivyoamua kufanya ivyo. Maisha yangu kimahusiano sijapitia...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Mabinti Ni vizuri kujitunza kabla ya kuolewa hii italeta heshima kwa familia na mumeo ata kueshimu Sana, hata na jamii itakueshimu kwa sababu binti au mwanamke ni kama kioo kwa jamii, lakini hata...
0 Reactions
3 Replies
919 Views
Watu wengi ambao hatujawahi kupenda au kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi hatujawahi kuumia tunaishi kwa furaha na amani ya moyo, hivi ni kweli kama hujawah penda huwezi kuumia kwenye mapenzi ?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili. Asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona...
8 Reactions
13 Replies
833 Views
Habari wanabodi ni matumaini yangu mu wazima Kama ada wana MMU, vipo visa vingi tunafanyiana wanandoa hasa mtu kuumizwa na mapenzi na mtu mwingine ilhali mtu una mke/mume. Iko hivi Kuna kipindi...
61 Reactions
76 Replies
9K Views
Back
Top Bottom