Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya Ngono kupendwa sana(hata mimi naipenda) na kuonekana ndio msingi mkuu wa utafutaji mali.Hivi ukiacha ngono unaweza kudhurika?Manufaa yake ni nini hasa?Kama ni...
haya sio maneno yangu bali ni maneno ya mwana saikolojia tex william aliyoyazungumza mwaka 1947 ambaye nilikuwa namskiliza kupitia yotube
tex william anasema mwanamke ameshawahi kushiriki tendo...
Umepambana kwa shida kuutafta utajili,wazazi wamejinyima ili ufanikiwe,,mwisho wa siku unakua tajili unaoa then mkeo ambaye hakuvuja ata jasho kwenye utajili wako anakuua anachukua mali...
Very interesting,
Kuna mdada flani nilikuwa natoka nae mwaka Jana, yeye anaishi kwake na Mimi kwangu.
Kwa mazingira ya pale kwangu nisingeweza kumleta kwa sababu mchumba anakujaga Mara kwa Mara...
Tumehubiriwa sana kuhusu dhambi ya zinaa,ngono uzinzi,na uasherati.Wachungaji wengi hawafundishi kwa kina dhambi hii kwa sababu wao wenyewe inawagusa. Matokeo yake Wakristo hupata ufahamu mdogo na...
Nikiwa nimekaa nakutafakari ni vipi siku itakwenda kwani sikuwa na chochote mfukoni na kama ujuavyo tumbo lenyewe lilitakiwa lipate stahiki zake pasipo kuangalia ni nini unapitia. Wakati bado nipo...
Huu ni usemi nilisikia kwa Sheikh mmoja hivi, nahisi amenigusa mimi kabisa. Nimekosea kupenda hivyo nimeyakosea Maisha yangu kabisa. Nipo kwenye ndoa lakini niliyemuoa nilikuja gundua simpendi...
Ndio hakuna Mwanamke Mrembo zaidi ya wengine duniani_
Kijana wakiume mfanye wa thamani Mwanamke wako, ambae teyari ameyavumilia mapungufu na madhaifu yako kwa kipindi chote cha mahusiano yenu...
Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k.
Kwamba hamjawahi...
Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.
Tulikuwa...
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na...
NDUGU NA MARAFIKI ZAKO NDIO MAADUI ZAKO WAKUBWA
Ndugu zako na marafiki zako wa karibu wanakupenda sana. Ndio maana mpaka sasa mpo karibu na mkishirikiana kwenye mambo mengi.Lakini hawa hawa ndugu...
Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari.
"Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle...
Jamani ama kweli Wanaume tumeumbwa mateso.
Demu kala vizuri na lodge nimelipia lakini mbususu yake amegoma kunipatia anadai hakuwa tayari na yuko kwenye siku zake.
Nimejiuliza kama hakuwa tayari...
Habari wana wa JF,
Mimi naishi hapa Dar, nimekutana na wanawake wengi wa kinyamwezi, 90% ya wanawake wa kinyamwezi wamejazia sana kuliko makabila mengine nilikutana nayo.
Huwa najiuliza ni...
Hii ni kwa wanaume wote ikitokea siku umemfumania mkeo au mchumba wako na mwanaume mwingine funga domo lako kaa kimya usitutangazie.
Yaani umekuta sms au umemkuta kwenye mazingira ambayo ushahidi...
USINIKIMBIE MUME WANGU.
Na, Robert Heriel
Kadiri siku zilivyokuwa zinasonga ndivyo matumaini yalivyokuwa yanazidi kupotea. Zile ndoto alizokuwa anaziota akiwa Kigoli wa miaka ishirini ziligeuka...
Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu.
Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia...
Wadau! Nimeshtushwa kwa kiasi kikubwa kwa jinsi uzi wenye kichwa cha habari cha"Maombi ya nafas za muda za ukarani wa sensa"Unavyotembea kwa kasi ya ajabu kuanzia comments mpaka views ,kuliko ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.