Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mama zetu, wanawake watu wazima, ambao hata biblia imewaasa kukaa na mabinti kuwafundisha juu ya kuomba na kuomboleza...ni muda umefika sasa wa kuwaambia binti zao ukweli wote. Mimi sio writer...
5 Reactions
9 Replies
961 Views
Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu? Swali kwamba utajuaje kama mpenzi wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika. Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli...
22 Reactions
304 Replies
22K Views
Habari za jioni wanajamii wote natumai mu wazima wa afya tele! Nakwawale ambao sio wazima wa afya MUNGU awajaalie mrejee katika afya zenu haraka! Nina mpenzi wangu tuko naye kwenye mahusiano huu...
1 Reactions
47 Replies
3K Views
I mean ile situation uko na mtu ambaye si ndugu yako, na hamjawahi fanya mapenzi [emoji15][emoji15] Tuseme labda kawatembelea nyumbani kwenu, may be akakukuta hapo nyumbani, akawa hataki hata...
4 Reactions
208 Replies
12K Views
Kuna Mwanamke mtaani ni anakaa jirani na nyumbani kwetu siku za mwanzo nilikuwa nikikutana naye dukani napokwenda kununua vitu ananichangamkia sana na kwenye kusalimiana ananiambia nikiwa napita...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarin, wana JF wezangu niko na ka kipande ka uzi nataka niwapatie. Ilikuwa April 21. Mwaka 2020 niko zangu mishe mishe kipande fulani cha Moro na pambania 10 zangu. Wachi wachi simu inaingia...
2 Reactions
94 Replies
5K Views
Habari ya muda huu wanaJF Mwaka 20×× nilipojiunga na Chuo kikuu
4 Reactions
112 Replies
6K Views
Kwa kweli kama kaka mtu nimehuzunika sana kupata habari hizi. Yaani binti badala ya kusoma na kumaliza elimu yake ya juu aje kuwa mwanasheria mzuri yeye anakimbilia kuolewa sasa ile ada niliyokuwa...
21 Reactions
121 Replies
10K Views
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye uhalisia wa Mada kuna kosa kubwa nimelifanya ukweni nalo ni kuzungumza uongo ambao umepelekea Baba mkwe kunikasirikia sana. Uongo wenyewe ni kwamba...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wazee nakuja kwenu nikiomba ushauri, Kama kichwa cha habari kinavyosema japo mimi sio mtaalamu sana wa kuandika nitajitahidi kuandika machache na ya muhimu, mwaka 2018 nikiwa kwenye safari zangu...
22 Reactions
209 Replies
15K Views
Habar wakuu Nimekuwa na shida kubwa sana ya kuwachukia wasichana wadodo wadogo under 30.. yaani hata sitamani kuwa nao kwenye mahusiano. Najikuta tu nampenda majimama na masingle mother je hii...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Wakuu kuna demu mmoja nilimtongozaga yupo Kigamboni akakubari ila sasa maringo yakawa mengi ikawa Mimi ndio kama nafosi mapenzi basi nikakaa nae siku 5 Mimi naanza kumtafuta kila siku Mimi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu. Mchepuko bwana juzi ukanianza kunifokea ooh wewe mwanaume wa aina gani yaani unitafuti, upo kimya blablabla zilikuwa nyingi sana. nikamuuliza so unaamajuaje maana kelele...
1 Reactions
9 Replies
839 Views
Habari ya asubuhi, Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya 1. Wanaofanya Jogging Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Khabari zenu... Msaada kwenye tuta...ni ivi nimeoa naishi na wife but niko na mchepuko kitambo tu na nashukuru najua kukaficha ka mchepuk0 kangu na kamchepuko nako kanajua kujificha cuz anajua...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
10 Reactions
233 Replies
16K Views
Issue nzima iko hivi,nilikutana na huyu mwansmke two weeks ago,nikachukua number tukawa tunachat,nikamtongoza akanielewa,basi bana tukawa tunachat sana huku tunanyegeshana.jana jion nikamuambia...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu, nimegundua kuwa nina kipaji cha hali ya juu cha kufanya mapenzi na wanawake na kuwaridhisha. Hivi hii haiwezi ingia katika vitabu vya rekodi za dunia kuwa Kuna mwanaume anaitwa Bei Elekezi...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za wakati huu watanzania wenzangu Leo napenda kutoa ushauri wa bure kama ni mwanaume na umeoa mke zaidi ya mmoja au una mchepuko umezaa nao basi nakushauri andika wosia mapema isije tokea...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom