Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salam sana waungwana... Nimeona niwashirikishe katika kupeana mawazo maana haya mahusiano yaliponifikia ni CLIMAX na nguvu ya kuendelea ni ndogo mno. walau kwa ushauri wenu labda i will go extra...
38 Reactions
241 Replies
28K Views
Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna siku nilikuwa hapa mjini, nafanya mishe za kazi. Baada ya kuzikamilisha, nikaamua kurudi hotelini kupumzika. Ilipofika mida ya jioni, nikatoka hotelini nikawa nimekaa eneo wanalouza...
18 Reactions
190 Replies
13K Views
Jumatatu asubuhi mida ya breakfast nilitoroka kwenye ka mishe kangu kidogo nikaenda kufungua kinywa kidogo pale Dodoma kuna mgahawa upo karibu na TRA kwa wanaopajua. Ok twende mbele,au basi mbele...
27 Reactions
62 Replies
9K Views
Hizi ni dunia mbili zinazotawala moyo wa mtu, kifo cha upendo ni kuzaliwa kwa chuki na kifo cha chuki ni kuzaliwa kwa upendo. Na hivi viwili haviwezi kukaa pamoja kwenye moyo mmoja ni kama usiku...
1 Reactions
0 Replies
483 Views
Africa ya Kusini Huko, Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha. Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi. Pastor alisikia akimshukuru Mungu...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill. Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka...
6 Reactions
147 Replies
6K Views
Wakuu habari za wakati huu Heri nyote humu. Moja kwa moja kwenye mada. Hiki ni kisa cha kweli wakati nimemaliza chuo nilianza mapambano ya maisha nilihama home mapema sana maana tayari nilikuwa...
5 Reactions
87 Replies
19K Views
Waheshimiwa malijendi, Tangu nioe ni miaka miwili imepita. Ndoa ilihudhuriwa na wazazi wote na ndugu wachache waliopata nafasi. Kesho nina safari ya mishe zangu tu za kutafuta riziki. Wilaya...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Closed
Mada ni kwa mtindo wa swali. Nguvu inayotumiwa na jamii ya Kiafrica kukemea ushoga inaridhisha. Ni kikundi kidogo sana kinaunga mkono ushoga. Kwa sasa ukienda gest hamruhusiwi kulala wanaume...
11 Reactions
51 Replies
7K Views
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa. Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua...
10 Reactions
194 Replies
19K Views
Watu wenye tabia hii ya Avoidance behavior utawagundua kwa viashiria vifuatavyo Huwa hawataki mahusiano yenye kudumu na hawawezi kabisa kudumu katika mahusiano yao na watu wengine. Ukitaka kuwa...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu...
0 Reactions
14 Replies
963 Views
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi. Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela...
32 Reactions
131 Replies
14K Views
Kama kawaida yangu, sinaga mazoea na watu mtaani. Lakini huyu binti si mara yangu ya kwanza kukutana naye japokuwa hajawahi nionesha dalili yoyote ile nzuri au mbaya, kutabasamu wala kununa. Hivyo...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, Mida hii ndo nafika gheto na uchovu mkali wa mwili ingawa mkuyenge bado unasimama simama tu! Siku ya jana sikuonekana ndani ya jf kuanzia mida ya saa moja jioni kwa kuwa nilimfuata nesi...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Sijui ni nini lakini wanawake wote kama sio wote ambao nilikua nao kwenye relation wameachika au ndoa zao zina migogoro. Wa kwanza nilizaa nae kipindi nipo olevel nikaahidi kumuoa lakini kabla...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na...
3 Reactions
1 Replies
989 Views
Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu? Kwakuwa mara...
24 Reactions
104 Replies
11K Views
Habari ya mapuziko wakuu ni baada ya mchaka mchaka wa wiki nzima katika ujenzi wa Taifa letu basi si mbaya wakati huu wa mapumziko ya wiki tukakumbushana baadhi ya mambo na kuwekana katika dira...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom