Habari za mchana wapendwa
Kutokana na watu wengi kutoa Maoni mengi kuhusu thread ya #gendar nimeona ni vyema Leo niwalete ya sex ambapo ukisoma utakuwa na uwezo wa kutofautisha Kati ya gender na...
Ilikuwa mwaka jana!
Baada ya kuona mazoea yamezidi, mara anione aniite ite, anikumbatie mbele ya watu, vizawadi zawadi vya hapa na pale, nikajua hii papuchi naichakata soon! Nilivyompanga...
Pisi ina Siku Tatu inajifanya ipo busy kichizi ooh narudi usiku mara blabla nyingi weee (huyu ni mchepuko Nina demu wangu mzuri sana kuliko Demu yoyote Yule hapa Duniani)
Kila nikiomba tuonane...
Habari ndugu zangu
Nina rafiki yangu kama Pete na kidole, huyu rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauru maranyingi sana kuhusu nda yake mume wa huyu rafiki ajatulia hata kidogo kuna kipindi alikua...
UNDERSTANDING YOUR WOMAN!!!
Many men make the mistake of wanting their wives/women to be like them, forgetting we were not created with the same raw materials. A man was formed from the dust but...
Leo ndo nimeamini kweli siku hizi akuna mapenzi ya kweli tena. Wanawake wengi wana penda pesa saana
Nilikuwa na mwanamke wangu ambaye. Nilifikiri ana ni penda saana kumbe mwenzenu nilikuwa na...
Salaaaaaaam.!
Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
Traumatized women have the potential to become the most powerful people in this world.
The most ignorant members of society call this type of woman “damaged.” But she is the most powerful type...
Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke...
Iko hivi, katika familia moja yenye mabinti watatu na kijana mmoja wa pekee wa kiume siku moja paliingia tafrani. Kijana wa familia alipofikia umri wa kuoa wazazi na dada zake walihakikisha kijana...
Nimesoma jana thread ya kijana mmoja inayohusu kutukanwa na mdogo wake wa kike, nikaumia sana. Sasa vijana nalazimika kuongea yafuatayo[emoji116][emoji116]
Ukitumia jicho la tatu utagundua...
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti mmoja kwa Kisambaa, natamani japo anizalie katoto, mimi ni kijana sijaoa ila nina mpango wa kuoa apo mbeleni...
Lengo langu ni kumuoa huyu binti...
Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka...
Kuna uvumi mwingi sana wakutumia mizizi katika mapenzi? Wapo wengine wana imani kuwa akitumia mizizi anaweza akampata kwa mfano hata mke wa mtu au mpenzi wa mtu kama Nyamayao au Belinda au...
Nakumbuka mwaka 2013 nikiwa machimboni huko Geita, machimbo mapya ambayo yalikuwa ndo kwanza yameibuka na hivyo kulikuwa na ukame wa totoz.
Mademu waliokuwepo walikuwa wakitoa huduma kwa kuringa...
Batuli na Ashura walisoma pamoja mikoani, kufika darasa la sita Batuli alihamia jijjni na kukaa na shangazi yake. Alisoma mpaka chuo na kuajiriwa na bank moja mjini. Alipata a mume na kuolewa...
Nakuhusia Wewe mwana.....
Mwanangu nisikufiche watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na kunywa na kuoneshana fahari, ukoo wa Mume Vs ukoo wa mke hawa kwenye Send-off na hawa wanajibu...
Nimefanya tafiti japo siyo ramsi kwa kugawa wanaume katika mazingira matatu kwa kuzingatia aina ya malezi na makuzi yao, makundi yenyewe ni haya
1. Wanaume waliolelewa na mama tu katika utoto na...
Jamani mkuje na mawazo ya kuokoa jahazi huku, nipo na jamaa yangu grosary flan hivi! Alikuja mitaa hii kumtembelea manzi wake, kwa bahati mbaya hakumkuta akaamua kujisogeza hapo grosary kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.