Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu mambo vipi aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza. Anyway...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwanamke wa hivyo anatakiwa apewe mkong'ong'oto alale kitandani siku 3. Hawezi rudia tena kuvunja vunja vituMkuu utaua kupiga, mtu mzima sio rahisi kihivyo kupingwa.
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Wakuu kwema, Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano. Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika maisha tunapitia visa vingi sana ambavyo vingine kama tukiwa makini vinatuachia funzo kubwa. Tuna mikasa mingi ambayo kama ukipata mtu wa kuisimulia kwa kuiweka kwenye kitabu au filamu basi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za jioni Juzi mshikaji wangu anachezea mpira timu fulani akaniambia Kuna manzi kakuelewa Sana ananisumbua toka mda anataka namba yako ni mpe? Nikamjibu mpe haina shida ila sitaki mswahili...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Jpili iliyoisha nilihudhuria sherehe ya ndoa ya kutimiza miaka44,ktk ufunguz wa sherehe waliweka clip iliyorekod wanandoa wakisimulia namna ya ndoa yao ilivyoanza na nadhan walitumia njia ya...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa...
20 Reactions
99 Replies
9K Views
Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume. Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima. Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na...
11 Reactions
96 Replies
6K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada maana hapa sielewi kabisa. Ipo hivi shemeji yenu alikuja geto sasa akaniambia yupo siku za hatari nitumie ndom , sasa kutokana na papara za nyege kuna demu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Well, kitambo kidogo sijaweka andiko hapa!!! Ni matumaini yangu Wana MMU mko salama nmaendelea vyema na majukumu ya kila siku ,,,, ! Back to the topic, kuna mdada nilikuwa navizia vizia mda tu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu. Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF.
1 Reactions
16 Replies
957 Views
Hello wanaMMU Naombeni tumshauri huyu dada. Tumpe jina Binti mateleshamsi. Mume aitwe Bakahehe. Mateleshamsi kaolewa na ndoa ina miaka kadhaa. Ndoa imebarikiwa kuwa na watoto pia... Kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Habarini Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana...
14 Reactions
116 Replies
7K Views
Habarini wana jukwaa,poleni na majukumu yenu ya kila siku katika kujiongezea mkate ,awali ya yote niwatake radhi kwa maana nakiri wazi mimi si muandishi mzuri ila nimeona vyema tu niwape kisa...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogo kidogo alianza kupoteza urembo wake. Mume alipata safari na wakati akirudi...
41 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF Basi bila ya kupoteza muda niingie kwenye mada kamili. Ilikuwa jana katika harakati za kusakata kabumbu, baada ya maandalizi mazuri kabla ya mchezo kukamilika, tukaanza rasmi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka...
14 Reactions
152 Replies
6K Views
Habarini za asubuhi, Inawezekama mpenzi wako kama ni mwanga kuja kwako night akakukuta na mwanamke mwingine, kesho yako akakasirika au kukuwashia moto au kufanya jambo lolote mpenzi analoweza...
3 Reactions
77 Replies
4K Views
Back
Top Bottom