Habarini wana JF hasa jukwaa hili. nimependa kushare habar hii japo kwa ufupi na nyinyi.
Kuna rafiki yangu wa kiume alikuwa na rafki yake wa kike (mchumba) ambae awali walikubaliana kuwa...
The conventional wisdom holds that older men prefer dating younger women so they can relive their glory days of youth.
Some people believe that if an older man is seen with a younger woman, it's...
Habari wana JF
Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa...
Nashukuru nimefika salama Dodoma nikitokea Iringa ambapo nilipata penzi motomoto, nimeamua kufikia Lodge moja hivi pande za Kisasa, hii ni kutokana na kuwa na miadi na demu wangu wa Facebook...
Miruzi imekuwa mingi, na kila mmoja anavutia kwake. Walio wengi hawataki kukoselewa na walio wengi hawautaki ukweli.
Ukweli lazima usemwe bila kujali utamuumiza nani na bila kujali lawama za...
Mdogo wangu, mkewe amekua kero kwa kweli ana pata hasira kwa vitu vidogo vidogo paka kuharibu vitu vya thamani,
Jana alimpigia simu, kwasabb alikua anaongea na watu hakuipokea, baada ya Mda...
Kisa kiko hivi
Mshikaji wangu kaniomba ushauri wa mawazo,kanihadithia issue nzima ilivyo,ila point ya msingi ni kwamba mkewe ameleta housegal nyumbani pasipo kumshirikisha, anasema hapafahamu...
Sikia hii habari
INTRO
Nyie mabaharia kwani u-single unawashinda nini? Hivi mnajua kuoa ni kutafuta matatizo. Kuna baharia mwenzetu yashamkuta huku.
FLASH BACK
Nilianza kumjua 2019 baada ya...
Wasalaam Wakuu,
Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama
Hii imekuwa ni kama fashion...
NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA.
Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua...
Wakuu bila kupoteza muda naomba nijikite kwenye mada husika.
Mimi ni mfupi wa futi 5, na nimekua nikipenda dating na girls warefu.Mpaka sasa nimeshakua kwenye love relationship na wanawake warefu...
1. They are scared of her
Well, maybe you’re not. But most men are scared of their girlfriend/wife leaving them.
This shows that she overpowers you in your relationship. You are a weak person.
2...
Kwema Wakuu!
Taikon ni Kaka, mume, Baba mtarajiwa, lakini pia inawezekana nikawa mchepuko mtarajiwa ( hili sitaki litokee Ila Kwa hizi pisi naona Kama najiongopea). Pia ni Babu mtarajiwa, nikiwa...
Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza...
Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi,
Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa.
Mada yangu kama inavyosema hapo juu,
Mimi nakumbuka...
I was having a conversation with my little cousin, she’s 23.
She asked me “why does a woman’s past matter ?”
I asked her “Tell me one thing that’s exciting about a woman’s future, that benefits...
KARMA says;
You'll certainly fall in love with someone who doesn't love you at all. Infact you'll be his/ her pet hate...she/ he will hate you with a great passion
....Just because you didn't...
Za saizi watanganyika wenzangu!
Kuna mwanamke niko na mahusiano nae,ila nimekua mbahili sana kumpa hela.vijipesa ninavyompa ni hivi vya nauli tu za kuja na kuondoka ghetto kwangu akiwa ananiletea...
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayo kaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.