Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafute mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela. Si kwamba kwetu...
3 Reactions
13 Replies
967 Views
Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine. Hila huyo binti anamiaka 36...
5 Reactions
161 Replies
8K Views
The word "Karma" gets thrown around a lot, yet most people have no real understanding of the concept Most people think of it like Newton's 3rd Law: "For every action there is equal and opposite...
3 Reactions
3 Replies
561 Views
Kuna rafiki angu kanieleza yanayomsibu katika ndoa yake nikastaajabu kidogo. Hadi sasa sijui cha kumshauri. Ipo hivi jamaa katika ndoa yake amebahatika kupata watoto 2 na yeye na mkewe wote...
7 Reactions
89 Replies
7K Views
Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019. Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa...
8 Reactions
107 Replies
5K Views
Katika pita pita zangu mitaani, nilikutana na mdada mwenye uzuri wake; ni mtu mzima mwenye miaka 38, na ana mtoto mmoja. Kama mjuavyo tena wakuu, macho hayana pazia, na moyo ukatokea kumpenda kwa...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Wasalaam wana JF Kama mnakumbuka niliwahi ongelea tabia mbaya za dada zetu wa Tanzania katika uzi wangu hapo chini...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Sikilizeni ninyi Wakristo, hasa mlio washiriki au communicants wa Roman Catholic, Anglikana, Moravian na Lutheran. Kanisa hufungisha ndoa kwa Wakisto walio washiriki (communicants). Kanuni na...
18 Reactions
91 Replies
7K Views
Ningependa kujua je wale wanaume wenzetu wanaoishi na wake wawili je wana changamoto kama ya ndoa ya mke mmoja? Je, hao wanawake hawaoneani wivu? Kwa kimila yangu unaweza kuishi nao hata ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
856 Views
Niko sehemu, napata chai ya Tangawizi. Wamekuja watu wawili, wakakaa meza ya Jirani yangu [kwa muonekano ni wapenzi], kiumri ni 20s. Sababu walikuwa mbele yangu, nilikuwa nikitazama yanayojiri...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kijana usioe mwanamke ambaye unaona una mpenda saana mpaka una kosa raha. Fanya kila liwezekanalo huachane na huyu mwanamke. Hata kama utaumia kiasi gani ukiachana naye my bro wewe kaza moyo tu...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia...
1 Reactions
12 Replies
960 Views
Umebahatika kusoma mpaka umekua mtu mzima,umejijenga kwa kifupi upo vizuri ukaamua kutafuta mwenza na umefanikiwa kupata mwenza. Mwenza wako umemzidi more than 15yrs yeye under 20.Jua 1.Kwanza...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
siku hizi wanawake wengi hupenda kuavaa bikini sana ni kwa nini au zanamvuto kwa wanaume?
0 Reactions
88 Replies
31K Views
Ni mtu mwenye umbo kubwa na mwenye haiba ya kuwa hata ofisa wa polisi anayeweza kupambana na wahalifu, lakini leo hii ni mwathirika wa ukatili wa kijinsia. Katika hali ya kawaida na tamaduni zetu...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
Ukienda kusalimia ukweni muda wa wiki moja kuna tabia ambayo shemeji zako wanazo wanaamka saa 11 alfajiri halafu wanasogoea karibu na mlango wa chumba ulicholala wanagonganisha majembe, hii ni...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Natumai mu wazima wa afya Kuna huyu dada nadhani maisha yake ya ndoa yanakaribiana na yangu. Sijui hawa wanaume siku hizi wamekuwaje, mi nimeamua kuwa mpenzi mtazamaji akisema kitu mi ndio mzee...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
." Hakikisha una mridhisha mkeo Kwenye Tendo la ndoa Na usiwe na muda maalumu wa kurudi nyumbani, namna utakayomzoesha mkeo siku ukibadilisha hata kwa dharura italeta matatizo. Ni bora usieleweke...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Shaloom....shaloom..!! Baada ya kupitia tafiti nyingi za ndani na nje ya nchi,ingawa binadamu hutofautiana kwa mambo mengi,lakini ukweli ni kwamba mapenzi ni starehe inayoongoza dunianj kwa...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Back
Top Bottom