Demu tulikutana kwenye mishemishe za kutafuta Door, longtime ago , japo hatukutongozana ila tulikuwa na intimacy , jana namchek kama masikhara njoo ntembelee na akaja kwel tena usiku, demu...
Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na...
Wasalaaam waungwana,
Leo nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu mahusiano.
Ni Mara nyingi sana watu hasa wapendanao kuwa na migogoro ya Mara kwa Mara na kupelekea kuchokana na kukinai...
Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika
Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi.
Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa...
Mwenzenu nimepata mtoto mmoja hivi mkali ni mcheza komedi mtoto nipo naye kwenye mahusiano sasa hivi tuna kipindi cha mwezi
Mbususu na chukuwa saana. Lakini hatuchokani. Najaribu kuleta za kuleta...
Na-Paste Text yake...
Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu.
Mimi ni msichana na Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa. Nilifahamiana naye nikiwa form six na kuanzia wakati huo...
Miezi minne ya mwanzo tokea huyu housegirl ameletwa rasmi nilikuwa nikiishi nyumbani, nimeishi nae nyumba moja kuanzia mwaka jana November hadi February baada ya hapo nikaanza maisha ya gheto...
Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama?
Eneo linaloongoza kwa vitimbi na...
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.
Sasa...
Hili janga linazidi kuwa kubwa sana, hii ishu bado sijajua ni kipi hasa kinapelekea itokee. Huenda ni kuiga ama tamaa za hapa na pale. Hapa nazungumzia vile vi binti vidogo vidogo.
Mtaani...
>UPDATES: Imeendelea kwenye reply #36
Kwanza kabisa nianze kwa kuwasalimu wale wote mliosoma katika shule za boarding kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ama kweli, tuliupiga...
Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.
Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu...
Wakuu,
I'm hope you're fine,
Huyu mwanadada ni pacha! Lakini wao ni mapacha wa kike wasiofanana sura! Ila huyu kanivutia kuliko kawaida! Nahisi kafahamu muda kuwa nimezimika kwake, kwa sababu...
RIWAYA: Sitaisahau facebook
MTUNZI: Emmy John P
SEHEMU YA KWANZA
"Isabela….Isabela…" nilisikia sauti ya mwanamke ikiniita, niligeuka mara moja maana sauti ile ni kama niliwahi...
Mazingira yapi yaliwakutanisha wewe na huyo mke&mume,mpenzi,mchumba, wako au mlikutana nae vipi na kuanzisha mapenzi yenu??
Watu wengi tumekalili kuwa mke&mume bora hupatikana katika nyumba za...
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.
Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
Kama miezi miwili nyuma niliamua kisirisiri kuingia kwenye secta hii ya ufbi kuchunguza mwenendo wa bi wife na watu wengine huko nje. nikajipa zoezi la kuvumilia lolote litakalo tokea...
Habari za weekend wadau,
Kwa wale ndugu zangu waislamu eid njema ambao mmetangulia kula Eid leo na wanaotarajia kula eid kesho basi sisi tunasema mwenyezi mungu na mtume wake ndo wanajua zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.