Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mosi,baba mtoto ni mtata muda wote anaweza kukataa mtoto kuwa si wake, hapa Mungu uamua kumaliza utata, angalia mimba zote zilizokataliwa watoto hufanana na baba zao. Pili, mama ni mtata, yaani...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Salam! hapa jamvini tumekuwa tunapeana matukio yetu ya kila siku, mapenzi mahusiano, matatizo nk. . . leo nimeamka na hilinla kuwapa moyo wapambanaji wanaoelekea kukata tamaa na maisha haya, kuwa...
4 Reactions
4 Replies
818 Views
Habari za Muda huu I hope mpo njema! Ni hivi, Kuna jamaa yangu anasaka mke wa kufanya nae maisha Now Ana Miaka 29 sasa katika harakati za kumsaka mwandani wake! Akakutana na binti anaefanana...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari, Nimetengana na mzazi mwenza takribani wiki tatu sasa Ila leo nimepata ujumbe ya kuwa kaenda hospitali kuchoma sindano sasa sijui hii kitaalamu inaitwaje.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za saizi wakuu.." Natumaini wote wazima Nina miezi miwili nipo kwenye mahusiano na mpenzi mpya na ninampenda ila shida ni yeye mwanzoni aliniamboa ayupo kwenye uhusiano na mtu yoyote...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Nilikutana na mademu kama watatu ivi wenye breach kichwani nyakati tofauti tofauti na kufanikiwa kupata utamu wa asili kiraisi mno bila ata kutumia nguvu lakin sasa kimbembe hawa mademu ni shida...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Akili kubwa
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Habari za jioni wanajamii, Kichwa cha habari kinajieleza. Hivi vitu kwa kweli, japo sijasoma tafiti, kwangu vinaongeza matamanio. Yaani mwanadada akiwa hana, labda itokee tu (kama sheikh), ila...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari, Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa. Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto...
48 Reactions
504 Replies
37K Views
Marriage can become unbearable when trust is broken which often leads to arguments, disagreements, and a total breakdown of law and order in a relationship. Conflicts are commonplace in marriages...
1 Reactions
5 Replies
615 Views
Habari wanajamvi, Katika harakati nzima ya uchakataji mbususu kumekuwa na changamoto kutoka kwa wanawake kuhusu wanaume hasa katika suala zima la mapenzi! Tumeweza kushuhudia katika social media...
8 Reactions
84 Replies
10K Views
Habari za mchana wanajamvi, Kuna hiki kitu binafsi mimi sikipendi japo bado kimekuwa kigumu kutoka kwenye baadhi ya vichwa vya watu.Wiki moja iliyopita jamaa yangu ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa...
2 Reactions
80 Replies
14K Views
Wakuu, Nauliza tu kuwa kwa hapa Tanzania, familia zao zinapatikana sanasana maeneo au sehemu zipi mikoani? Nawapenda sana hasa kwa mwonekano wao na ukarimu walio nao! Ukimpata ambae mzazi wake...
0 Reactions
6 Replies
972 Views
1.Uvivu Mwanaume mvivu, omba omba ambaye hukaa juu ya kochi na kunyoosha mikono kuomba hela kwa mwanamke, hafanyi kazi yoyote yupo yupo tu anasubiri mwanamke wake amletee hela. Biblia inasema mtu...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Nilishawahi mdanganya mwanafunzi IFM pale Kigamboni kwenye pantoni nasoma CPA kumbe ni darasa la Saba failure tu na kaingia kingi kweli ishu ilikuwa kakiomba kaje nikafundishe maana kalinambia...
4 Reactions
133 Replies
10K Views
Nyie si ndio huwa mnajisifu ni majebedali sasa kiko wapi? Mbona mna mioyo ndembedembe sana? Ulevi wa kupindukia ni nyie. Unyanyasaji dhidi ya wake zenu ni nyie, kukatakata mapanga wenzenu eti...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia. Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao...
10 Reactions
242 Replies
100K Views
Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Huu ni mtihani mkubwa tunaopata sisi wafariji. Kwa week sasa huyu dada yangu wa hiari nimekuwa nikimpa ushauri nasaha baada ya kupigwa tukio na mmewe. Nimekuwa nikimtia moyo apuuze na amsamehe...
17 Reactions
70 Replies
5K Views
Back
Top Bottom