Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba. Ila kama hainitoshi, inadondoka. Naitafuta naipata navaa tena. Nikijisahau inavulika inadondoka. Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii Forums.Poleni na majukumu ya kazi Kwa miaka ya hivi karibuni,MAHUSIANO yamekuwa kama biashara.Mahusiano yamekuwa kama miradi ya kumnufaisha mtu fulani ili aweze kukidhi...
44 Reactions
169 Replies
10K Views
Niliwahi kusafiri mkoani kwenye basi nikakaa siti mkabala na binti mlemavu wa miguu. Binti mrembo ana sura nzuri ana akili za darasani na za maisha. Tulipiga stori tukapeana namba. Binti...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Umefanikiwa kujenga kibanda cha vyumba viwili, chumba chako ni master bedroom na chumba cha pili ni cha kawaida. Unapata uhamisho, kwa sababu za kiusalama unamtafuta kijana wa kukaa. Chumba...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Hakuna cha salamu, siku takribani saba nimekuwa nikisikitika mno kwa mambo kadha wa kadha. Leo moyo umepiga 'paaa' baada ya kuangalia 'list' ya majina ya wanafunzi kumi bora kitaifa waliofanya...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Hello wakuu!, Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na...
98 Reactions
905 Replies
59K Views
Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa. Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa... Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata...
3 Reactions
111 Replies
7K Views
Sura yako ya ucheshi ndio tatizo pekee unalo niacha nalo. Kwani sidhani kama ni vyepesi kuiondoa mawazoni. Nilikuwa sifahamu ni nini nahijati kwa mwanamke mpaka pale macho yangu yalipo hifadhi...
1 Reactions
3 Replies
777 Views
Your name starts with letter A. whenever you are right now and reading this, just know that this letter is for you. it is coming from your first boyfriend who took away your virginity. It has...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Kumekuwa na maombi mengi humu lakini ukiangalia muombaji unaona kabisa Kuna mzaha mwingi na walio wengi hawatoi ushirikiano hata wakifuatwa pm. Hivi mtu anasema anatafuta mke......stage za mdada...
0 Reactions
1 Replies
395 Views
Ndugu zangu habari zenu. Wadogo zangu 'mambo?', rika la wanangu(najua hawapo) wazima? Ninahisi kuwa na hatia mno, kwa mengi niliyofanya. Kubwa ikiwa ni kuwakataa makumi ya wasichana waliopiga...
5 Reactions
130 Replies
6K Views
Hili ni jambo ambalo kwa upande wangu nalitizama kwa utofauti kidogo watu wengi wana ingia kwenye matatizo ya kisheria ambayo yanawapelekea mpaka kifungo cha maisha JELA sababu ya usaliti wa...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke) Mimi huwa nikienda...
6 Reactions
117 Replies
94K Views
I want to let you know that love is something eternal; the aspect may change but not the essence. Love asks me no questions and gives me endless support. Through love I want to express whole...
5 Reactions
146 Replies
8K Views
Wakuu salaam, Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini...
41 Reactions
212 Replies
9K Views
Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi yako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana. Yaani hawa dada zetu kuna kipindi wanakuwa hawataki...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom