Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Guys mambo vipi, mimi nipo kwenye mahusiano na mdada ambaye amenizidi elimu yaani yeye ana bachela ya mambo ya elimu lakini mimi ni form 4 tu and tuna mpango wa kuja kuoana je kutakuwa na mapnzi...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wote mlio hai humu!!! Jana nikiwa natoka kazini nikawa natembea kwa mguu kutoka maeneo ya Posta kwenda kupanda treni kulekea Pugu kwa kutumia treni ya TAZARA (ndio zangu daily)...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wanajamii forums hope mko poa sana. Kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuhusu mapenzi yana ladha gani? Kiujumla nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja kuhusu mapenzi. MAPENZI NI MATAMU...
1 Reactions
34 Replies
38K Views
Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana...
7 Reactions
116 Replies
9K Views
Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Je ni kweli kwamba Mwanaume huwa hachagui mwanamke wa kufanya nae Mapenzi na Mwanamke anafanya Mapenzi na Mwanaume anayempenda? Lakini mambo ni tofauti linapokuja swala la ndoa. Mwanaume akitaka...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wakuu.... Juzi nimeshiriki kumuhifadhi rafiki yangu tuliyesoma nakufanya nae kazi katika nyumba yake yamilele. Rafiki huyu kabla ya kifo chake alibahatika kufunga ndoa na mkewe ambapo...
16 Reactions
45 Replies
4K Views
ILI USIMUUE MKEO AU MCHUMBA WAKO UKAJIWEKA MATATIZONI FANYA YAFUATAYO Anaandika, Robert HERIEL Kuua ni kosa kisheria pia ni dhambi kubwa kidini. Hivyo ili kujiepusha na kosa hilo hasa Kwa...
41 Reactions
100 Replies
7K Views
Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry...
18 Reactions
160 Replies
18K Views
Habari Ni hakika ya kwamba kila Mtu anatambua kwamba kila kitu katika Maisha Yetu ni Mungu kwanza.Kumbe hata katika Mahusiano ambayo badae huzaa ndoa ni Matamanio ya Wanawake wengi. Nasema...
21 Reactions
52 Replies
4K Views
Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe...
25 Reactions
167 Replies
6K Views
Jamani kuna mshkaji hapa akitafuna ile kitu lazima alie kwa sauti tena kubwa mpaka ina leta taharuki kwa jamii, akifika kileleni sasa ndio anatoa lisauti likubwa mpaka majirani tunashangaa kuna...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo ya sasa aisee inasikitisha Sana tumekuwa Malaya mno yaani wanawake wanajiuza balaa direct na indirect na hasa wake za watu siwadanganyi asee mwanamke ukimsumbua kidogo tu anakupa...
10 Reactions
87 Replies
7K Views
Katika mizunguko yangu, mwili ukiwa unavuja jasho, nimepauka hatari huku tumboni njaa ikinichapa. Ghafla ikasimama gari kali mbele yangu, kioo kikashushwa, huku nasikia jina langu linaitwa jay...
18 Reactions
65 Replies
6K Views
Tumeona watu wanaoana au wanatafuta majini kuwa wake/waume/wachumba zao. Hoja yangu kubwa ipo kwenye tendo la ndoa. Je, majini nayo huwa yanahisi utamu au raha kufanya mapenzi na binadamu? au...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello bosses, weekend moja nzuri kabisa nikiwa nimetulia na kufanya tafakuri kwenye seat yangu nikielekea mkoa X, seat ya pemben kakaa mtoto fln hapa ni mzuri kila idara kwa kweli. Nmemuangalia...
3 Reactions
8 Replies
768 Views
Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to...
18 Reactions
77 Replies
6K Views
Your highest folks! Kuna jambo nalileta chamani muda huu, kuna binti ninasali naye, mcheshi, mpole, mstaarabu na mchapa kazi. Huyu binti ananipenda mno na ameweka mitego yote(ya heshima) ili...
3 Reactions
72 Replies
3K Views
Back
Top Bottom