Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi...
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria Yemi Alade alaani vikali wanaume wenye uume mkubwa wasiojua kuutumia ipasavyo kwa kuwaridhisha wenza wao kitandani.
Kwa mujibu wa Yemi Alade, mmoja kati ya kitu...
I am very stressed about and suspicious of my wife with her gym trainer mara sijui mwalimu. I have no other place to turn for advice. I appreciate that what im about to say could be construed as a...
Jamani nimenuniwa leo.
Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.
Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye...
Wakuu habari zenu,
Iko hivi uko kwa Biden bana kuna jamaa aliyefahamika kwa jina la Richard Hoagland, ambaye alimuoa mwanamke aliyetambulika kwa jina Linda Iseler na walibahatika kupata watoto...
Nahitaji mnisaidie juu ya hili nimekua napatwa na uoga na hofu wakati wa kufanya mapenzi haswa wakati nakutana na manzi mpya.
Wakati mwingine nikikutana na msichana pisi kali ndo napata uoga...
Wanawake waliowengi, huwafanya wanaume kama chanzo cha mapato 'source of income'.
Na inapotokea mwanaume kushindwa kumuhudumia ipasavyo mwanamke, kuna uwezekano mkubwa wa kuachana; au kufanyiwa...
Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na...
Habari Wana wa JF...
Mimi ni muhanga wa kutalakina. Kesi yangu ya talaka ilifunguliwa tokea 2018 mpk Leo Bado haijaisha. Ilianzia primary court mpk Sasa ipo high court tusijadili maana ndo mambo...
Kesho tutakuwa na mahafali ya postgraduates hapa UDSM, mimi na rafiki yangu (foreigner) tutakuwa na sherehe fupi majira ya jioni, bahati mbaya hatuna marafiki wa kujumuika nasi kutokana na...
Habari wana jamvi
Kwa wale waislam hongereni kwa kuendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa wale ambao ni waislam na hamkufanikiwa kufunga kwa sababu za maradhi Mwenyezi Mungu...
Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana
Betrayed
Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari kwa upendo wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana.
Mbaya zaidi una...
Wakati nikiwa hapa kwenye mashine ya kutengeneza unga wa sembe huku nikisubiri gunia kadhaa zipakizwe juu ya pick up ili nipeleke mzigo nilikoagizwa, nimemshuhudia mdada mdogo mdogo mrembo wa aina...
Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha kuna michezo ya kiswahili kanifanyia.
Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka
Sasa mambo...
Wakuu kwema
Hii siyo mara ya kwanza daa!
Sasa this time anaomba kabisa niwe nae nisimuache anadai ananipenda…
Najua mwanamke anatakiwa awe hivi kwa mwanaume wake kwamba mwanamke atoe upendo...
Watalaamu wamebainisha kwamba upigaji wa kelele wakati wa tendo, kwa wanawake haihusiki na kufika kileleni au kupata raha kwa sababu pindi wanapokuwa wanapiga kelele hizo wanao uwezo wa...
Amekuzimia? Anakupenda Kweli? Nini Kina Ashiria?. Kumuelewa mwanamke kama amedata na wewe inahitaji ujanja mwingi. Zifuatazo ni dalili 13 akikuonyesha mwanamke, kuna uwezekano mkubwa amekuzimia...
Siku zote najinasibu ni mtu wa gambe, yes napiga tungi kwelikweli na hapa napost hii. Nimerudi nimemkuta mke wangu Muanglican anasali rosali. Nimefunguliwa na Dada Wa kazi, kanipakulia mke yupo tu...
Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na...
Wakuu,
Wakati nikiwa kwenye mawazo ya ahadi ya jinsi gani nitaipata laki mbili na nusu ndani ya wiki ijayo ili kumnunulia baby Infinix note something niliyomuahidi baada ya kunipatia penzi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.