Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio...
37 Reactions
77 Replies
20K Views
Maeneo mengi ya bara la Afrika, mapenzi yanatazamwa Kama sehemu ya kuchumia Mali. Mfano mahari kubwa, kuhonga Mali na wanawake kujiuza, haya yote yanadhihirisha kuwa wanawake wa kiafrika hawana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu 1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Aiseee leo nimepata majanga kuna demu mmoja nimejuana nae kama wiki tu hatuna mahusiano ila ni marafiki. Leo nimempanga kaja ghetto nikamnunulia chipsi kala tukapige vijistori yaani nilitaka...
8 Reactions
76 Replies
8K Views
Nikipita social media unakuta kama mwanaume amepost kitu then kuna sehemu ya mkono, unaona baadhi ya wadada wanasema " unakucha nzuri, post mkono niuone" sasa nauliza inamaa mwanamke anaweza...
2 Reactions
65 Replies
5K Views
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa. Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Upande wa pili kwenye Simu "Ujue mtoto toka Jana homa imepanda sijampeleka hospitali kwasababu hujatuma hela''. Mshikaji ''inamaana umeashindwa kupata buku la kumpeleka hospitali mpaka uningojee...
2 Reactions
8 Replies
586 Views
Habari yako wapendwa poleni na changamoto za usafiri kwa wale wanaowahi sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika bila kupoteza muda. Imekuwa ni tabia...
10 Reactions
37 Replies
5K Views
Tukubaliane kwamba ukimkuta binti wa watu mwaminifu mlokole hana mambo mengi ana future yake ya kuolewa na ana shida zake akakuelezea zitatue kibinadamu usimtongoze wala kutembea nae muache...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google. Baada ya Elon Musk kumtafuna...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Wazungu moja ya sehemu walio fanikiwa ni kwenye kutafuta pair, sisemi kwamba hawana changanoto kwenye ndoa ila atlest huwa wana minimize sana. Wazungu huwa wakitafuta Pair huwa wanaweka wasi...
54 Reactions
172 Replies
11K Views
Nimeandika uzi huu kutokana na uchungu mkubwa niliokuwa nao.. Mimi si mwandishi mzuri.Natamani kama kisa hiki ningemsimulia mtu kama gudume aandike yeye. Roho yangu inanisuta sana. Toka nimeoa...
31 Reactions
357 Replies
35K Views
mazoea yamea
5 Reactions
23 Replies
6K Views
Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajiri, mchaga. Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya...
29 Reactions
134 Replies
13K Views
Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu za mida hii. Nina mchumba wangu ambaye nilimtolea kishika uchumba, tulibahatika kupata mtoto wa kiume, alijifungulia nyumbani kwetu(Kazi zangu nafanya sehemu ambayo haikumruhusu...
11 Reactions
152 Replies
13K Views
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:- Uwe na pesa ya matunzo Ujue kepelekea moto Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume Uwe unakunywa pombe kwa kiasi Uwe ni mtu...
17 Reactions
90 Replies
6K Views
Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu .. Ndoa ni kitendo Cha kumtafuta mwanamke akusaidie Kula pesa zako huku akikuzalia watu wengine watakao hakikisha wanaziponda Mali zako kisawa sawa na mwendo unakuwa umeumaliza hapa...
32 Reactions
115 Replies
6K Views
Back
Top Bottom