Habari,
Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate.
Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina...
Habari wakuu.
Naimani wote ni wazima niende moja kwa moja kwenye Mada.
Kuna manzi mmoja hapa nashindwa kumuelewa kabsa anataka nini. Iko hivi huyu manzi kuna kipindi mwezi wa 3 mwaka huu...
Anaitwa Safina Diamond, ni slay queen na socialite wa Ghana. Ameshikiliwa na polisi kwa kumchoma visu zaidi ya mara30 shingoni na tumboni, na kumuua mpenzi wake ambaye alikuwa amesafiri siku...
Habari wanaJF
Leo natarajia kupata mtoto wa kike, hivyo naomba msaada wenu wa majina yanayoanzia na herufi B. Nataka nipate jina linaloanza na herufi B kwa sababu mwanangu wa kwanza pia jina...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
Katika lugha ya kiingereza kuna maneno mawili muhimu sana: NICE na GOOD. Katika suala la mahusiano tunapata maneno nice guy na good guy. Twende kwenye mada.
Zamani ambayo ndiyo asili haswa...
Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la...
Beberu mmoja asiyejulikana aliwahi kusema hivi;
"Young man: no matter how well you treat a lady, if you are not the man she has feelings for she will never appreciate your efforts. Ladies are...
Ndio sikuwahi lakini Sasa naona kabisa yanahitaji pesa_.
Hapo awali pesa zilipokuwa hazikauki mifukoni mwangu_ nilikuwa sioni haja yakuzitoa kwa mwenzangu kwakuwa alikuwa sio wakuomba_ lakini...
Habari wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye nampenda kweli yaani, sasa tumeongea usiku huu kwenye saa mbili hivi akasema atanicheki, ikabidi nijipumzishe naamka usiku huu nakuta nimechezea block bila...
Kama jinsi ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza.
We sema tu, mwaga yoote, zungumza ili mradi machungu yaishe, sema, paza sauti yako, payuka uwezavyo, lia sana na sana, itapendeza kama utakuwa...
Nimefahamiana nae mwezi wa kwanza. Kwa kuwa nilikuwa na mpenzi mwingine, sikuwa na njaa ya kuitafuna papuchi yake.
Mwezi wa nne akananiita na kunikalisha kikao kisha kunambia kuwa mimi ni...
True story......
Leo katika harakati zangu za kufuatilia cheti cha kuzaliwa cha dogo .Nilienda kibamba hospital nafika nakuta hospital imebomolewa pale na kujengwa nyingine nyumba kule ambapo...
Hii ni historia ya jinsi nilivyokutana na huyu Mchagga na kilichoendelea mpaka kufilisika vibaya.
Wengi humu JF mmekuwa mkinichukulia mtu asiyeeleweka na masikini mno. Hasa baada ya kusema...
Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake.
Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi.
We legends...
Wandugu,
Rafiki yangu kakutana na mtihani huo hapo juu.Alisafiri kidogo na aliporudi akamkuta mkewe yupo najamaa kitandani wanafany yao. Baada yavilio vya siku4 vya kuomba msamaha toka kwa mkewe...
Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli!
Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana...
Hakuna kitu kigumu kukipokea kama kukataliwa na Yule unayempenda au unaye tarajia kuwa nae ktk Maisha ya kimapenzi.
Tujue Kwanza kukataliwa ni haki ya yule anayetukataa,ana Uhuru na uamuzi wa...
Baada ya miezi 9 ya mahusiano na hustle za ujobless leo nimepigwa na kitu kizito kichwani
"All I'm trying to tell u is, mimi ni mzuri, nahitaji matunzo. Hata uwe mzuri wa sura au kitandani...
Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.
Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.