Kuna wakati itabidi uachane na mbia wako (Business Partner) wa biashara ambaye mlipanga kufika mbali sana. Kuna wakati itabidi uachane na bosi wako ambaye ndiye alikusaidia kukufundisha kazi hapo...
Wakuu salama!.
Nilikuwa siku zote nikimuona mtu analia kwa sababu ya mapenzi nilimcheka na kumdharau.Lakini kwa haya yameyonikuta sihitaji kusikia neno mapenzi katika masikio yangu maana niliwaza...
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni...
Habari !
Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!,
Mimi kwa upande wangu nimeshindwa...
Amani kwenu Wakuu.
Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa...
Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light.
Nikianza na sisi wanaume.
Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha...
Nakadori anawasalimia sana.
Ninaomba kuuliza swali...hivi wanaume mliooa mbona mnawapa wake zenu simu zenu wazipekue na kufanya mawasiliano?
Kwanini iliitwa simu ya mkononi? Maana yake ni iwe...
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE.
Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya...
Habari za usiku huu...
Natumai mna usiku mwanana na tulivu. Nikiwa naikaribisha weekend kutoka huku Nanjilinji nimeshindwa kuzuia hisia za Mahaba....!
Huyu babu vile ananitenda, Mola anajua...
Wakuu Salam kwenu,
Nimelazimika kuupa huu uzi kichwa hicho kutokan na story niliyopewa na mfanyakazi mwenzangu.Nirafiki yangu sana tangu alipoajiriwa kwenye taasisi hii miezi9 iliyopita.
Dada...
Ma legends,
Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material!
Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini...
Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa, hata kama humpendi huyo mwanaume.
Kama humtaki, tumia mbinu za ki-digitali:-
Atakapoanza kuchati na wewe; mpige mzinga mkubwa, kwa mfano; akununulie kiwanja...
Sabato njema!
Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua...
Wakuu salaam,
Niliwahi kubishana na rafiki zangu kadhaa kuhusu siku ya mwanamke kushika mimba.Rafiki zangu hawa ni wakike kwa wakiume.
Wao walikuwa wanadai kuwa mwanamke hupata mimba kwa urahisi...
Kwa kweli wana JF, mimi nina mikosikatika ishu ya mahusiano.
Mahusiano yangu ya kwanza nilikutana na binti fulani hivi, mzuri sana ni binti la kinyaturu, mwanzoni mambo yalikuwa mazuri kweli...
Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenz ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi flani cha mahusiano yao. Lakini kabla hatujaangalia hizi...
Umofia kwenu wakuu
Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm...
Kuna mzee mmoja alinishauri. na kuniambia; kijana, sikiliza ushuri wangu, kwa sababu nimekula chuvi nyingi; katika maisha yako ya mapenzi:-
Hakikisha unakuwa na mahusiano na mama ntilie;- ili...
Hi ishu ilimpata ndugu yangu mmoja upande wa mama. Ni iko hivi
Ni kijana mmoja hivi alikuwa anamasters na Ni mwalimu wa chuo flani nyanga za juu kusini na alikuwa Ana mchumba wake wa kike ambaye...
Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu
Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.