Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hakika ananiingiza kwenye jaribio zito sana ndugu zangu[emoji24][emoji24] Tu majirani, kinachonifanya kusita ni yeye kuwa na mtoto wa kike ninayemzidi miaka minne tu[emoji26] ambaye naye yuko...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Kenya umetupa funzo Zito sana watanzania sidhani 2025 ccm jiandaeni kuondoka. Twende kwenye Mada husika, imepita miezi mitatu tangu ndugu yetu aoe mwanamke ambaye tulikuwa hatujui...
3 Reactions
202 Replies
11K Views
Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe. So...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu. Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila...
5 Reactions
131 Replies
6K Views
Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa. Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanaume huwa tunapenda sana, ndio maana kuna wengine wanaonga gari, nyumba, vyeo n.k kutokana na uwezo na nafasi aliyonayo. Hii inatokea pale anapokutana na binti aliyeuteka moyo wake, na anakuwa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha. Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa...
20 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kama kawaida nikipata kizuri lazima nile na ndugu zangu Kupata mwenza wa maisha ni jambo linalohitaji utulivu, hekma na busara. Usitumie vigezo...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapendwa naamini mu wazima wa afya. Binafsi nikipata kitu ambacho kitatufaa lazima nilete ili tujifunze na wote tuweze kujifunza si mnajua mwezi wa wapendanao huu. Hebu...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla. Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya...
1 Reactions
0 Replies
618 Views
Ubongo ndio kila kitu inacontroll mpaka maswala ya uzazi.zamani Babu zetu maisha yao yalikuwa stable Sana mzee Hana pesa lakini ana mashamba, mifugo na chakula hana mawazo yoyote akipiga bao...
12 Reactions
14 Replies
864 Views
Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
"Wakapiga kelele tena, Msulibishe. Pilato akawaambia, Kwani, ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, Msulibishe. Pilato akipenda kuwaridhisha makutano, akawafungulia Baraba; akamtoa...
2 Reactions
0 Replies
439 Views
Nawasalimu nyote Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013. Mwaka huo aliripoti kazi na dada mmoja mwenyeji wa Babati.Jamaa kwao ni Tanga. Hapa na pale baada ya miezi kadhaa wawili hawa...
20 Reactions
103 Replies
6K Views
Ukweli usemwe, hawa wanaosema mimi ni mwanamke natafuta kwa jasho langu ni wale yaliyowakuta magumu kwenye mapenzi, sura haina mvuto hapa unakuta mwanaume wa kumshobokea amuhonge hayupo, walio zaa...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Jamani naomba ushauri Mwaka jana nilikuwa kwenye mausiano na mwanamke fulani tulipendana saana mimi na huyo mwanamke Kwa bahati mbaya tukaachana Baada ya sisi kuachana nilikaa siku nyingi bila...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu mwanamke ni mzuri kuanzia rangi yake nyeupe, kifuani yuko wastani, tako na hips za uchokozi na miguu ya wastani Kiukweli siku ya kwanza kumuona nilishtuka maana sijawahi kuona mrembo kama...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo...
14 Reactions
113 Replies
10K Views
HIZI NDIO FAIDA SABA ZA KULALA BILA NGUO KABISA Katika swala la kulala kila mtu hua ana utamaduni wake wa kulala, wengine hua wana mavazi maalumu ya kulalia, na wengine hulala na nguo yeyote tu...
20 Reactions
195 Replies
21K Views
Back
Top Bottom