Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habarini, Tangu mwanzo nilipomtoa bikra, its one year and a half. Tunapofanya romance naye kabla ya sex (kushikana, kissing) anapata hisia kubwa tu, lakini tunapofanya penetration mara nyingi...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Nimeamua kuwaletea huu uzi wana jamii wenzangu, hebu na tuanze Katika maisha ya mwanadamu ya kila siku tunayashuhudia mengi sana hususani pale unapoanza kubale ndipo season inaanza. Ukikumbuka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
#SOMO:KERO KUBWA KWENYE TENDO LA NDOA, ZINAZOHARIBU NDOA NYINGI. Hairuhusiwi kusomwa na walio na umri chini ya miaka 18 AHM Sikiliza Ubongo wa kila mwanadamu unaujua umuhimu wa tendo la ndoa...
3 Reactions
34 Replies
11K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Ni Mara ya Pili nakuja Tena nikihitaji maoni, ushauri na ikiwezekana msaada wa kimawazo kuhusu hili lililo mbele yangu kwa muda huu. Niliwahi kuja humu mwezi wa...
11 Reactions
110 Replies
10K Views
Tuungane tena kwenye kuliangalia hili. Jamaa yangu ni chapombe,bangi na mwasherati aliyekubuhu.Mara kadhaa amekuwa analewa nakulala nje(harudi nyumbani).Tarehe zamshahara haonekani nyumban hadi...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Can Men and Women Be Friends? Can men and women be "just friends," or is sexual attraction between the sexes always inevitable? According to Rabbi Shmuley's book, men and women can be friends with...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
. [emoji2389] Matarajio yaliyopitiliza..... [emoji3597] Kwa kawaida kila mmoja wetu hutazamia mambo makubwa kutoka kwa mwenzi wake, ikitokea matarijio yako yakawa kinyume na vile ulivyomdhania...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ulikuwa mwaka wa 2019 ex wangu aliniacha na kuolewa na mwanaume mwingine kitendo icho kiliniumiza saana Sasa katika purukushani zetu mimi na yeye Nilijikuta nikitamka maneno kuwa katika maisha...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
.. Naanza na wanawake.. :unajua ndoa ni jambo la heri tena liliandikwa na mitume wengi zaidi. :zamani kidogo tulikua tukichaguliwa mume au mkee Lakini kadli siku zinavyoenda ndivyo nasisi...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana. Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa...
2 Reactions
6 Replies
750 Views
Leo ni mara ya kwanza kuingia kwenye hili jukwaa wadau, nategemea ushauri wa maana juu ya hili jambo. Iko hivi kuna kijana wangu anaomba ushauri kuhusu tatizo linalomsumbua yeye ni mkristo wa...
4 Reactions
192 Replies
23K Views
Iddi Makengo 16 hrs · STORI YA MAISHA YANGU; MUME WANGU NAOMBA LEO USINIPIGE! “Mume wangu naomba leo usinipige, nimechoka sana mume wangu, naomba tu usinipige…” Mke wangu aliongea kwa unyonge...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Ndio, kuwateka namaanisha wawe upande wako...wakukubali kuwa kweli wewe nimtu sahihi kwa mtoto wao. Mara nyingi wanawake wanawateka mama mkwe zao hasa kwa vitenge, kanga na vijizawadi vingine vya...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam kwenu Jana jioni nilitembelewa na mabinti wawili ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi. Ujio wa mabinti hawa ulitokana na kuagizwa na Kaka wa mmoja wabinti hawa waniletee bahasha...
25 Reactions
83 Replies
6K Views
Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic.. Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo. Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya...
23 Reactions
68 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu.. Leo naomba niongee na wewe binti, dada au hata mama unaweza kumwambia binti yako. Dunia ya leo ni dunia ya kizazi kilichoharibiwa na shetani. Malezi yamekuwa mabovu kwa sababu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom