Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
NANI ALIYEKUAMBIA UCHUMBA NI NDOA..[emoji780] Nawasalimu kwa jina la TOZO za jamuhuri Ya muungano wa Tanzania Kuna mambo mengine hata kama sikuataka niseme yananibidi tu niseme. Hivi ni nani...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama wazee wetu walioa mama zetu wakawapikia chakula kitamu, wakawafulia nguo, wakaombea mafanikio, wakalea watoto na wakasimama kama wanawake katika kuistablize familia Je, hawa wanawake wa leo...
13 Reactions
77 Replies
4K Views
Kuna vijana ambao wakiachwa au wakiachana na maex wao wanaomba tena kurudiana nao. Nikupe tu siri kidogo mwanamke akiona amekuacha alafu umeshindwa ku move on bila yeye ndugu yangu umemalizika...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna mtu aliwahi kusema, "kama hautojipenda mwenyewe basi, hauwezi kumpenda yeyote kwasababu hauwezi kutoa upendo ambao hauna". Hauwezi kufanya mtu akupende ikiwe wewe mwenywewe hujipendi. Maisha...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu yangu huyu ni mwaka na nusu sasa anadunda na mke wa mtu. Mwaka jana nikamshauri amwache mara moja,akakubali ila akaendelea kwa kificho. Siku ya valentine day akampost kidogo whatsapp halafu...
33 Reactions
147 Replies
22K Views
Wakuu nina mwanamke mmoja ni rfk tu sasa tumezoeana sana ila cha ajabu amekuwa akinilalamikia mahusiano yake kila daily mbaya zaidi amekuwa akiniomba ushauri kwamba amuache jamaake Mara jamaa...
2 Reactions
12 Replies
933 Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Bado naendelea kufuatilia masuala mazima ya ndoa hasa katika nyanja kuu 3 kimila, kidini na kiserikali. Suala la kulipa mahari kwa mwanamke lipo na limeelezwa...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari MMU Kwenye haya maisha bana wanawake wanajua kupenda sana na usiombe ukakutana na mmoja wao aliyekuelewa. Wiki jana kabla yakuachana na mchepuko mmoja binti mrembo na mwenye IQ ya wastani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari! Katika hali isiyo ya KAWAIDA Kuna dada ambaye tunafahamiana lakini sio wapenzi kabisa, na hatujawahi kuwa wapenzi. Huyu dada juzi amenifuata na KUJIELEZA kuwa alikuwa na mahusiano...
11 Reactions
90 Replies
5K Views
Kwa mazingira yeyote je, ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake? Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu, Kama ilivyo ada kwa wanawake, wale wenye kusudi la kudanga basi hutumia mavazi mbalimbali chonganishi zinazoweza kumuamsha Mwanaume kihisia. Sasa katika utafiti uliochukua miaka mitano...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam kwenu, Niko kwenye ndoa mwaka wa 8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi na mwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti. Mwezi huu kukatokea...
20 Reactions
201 Replies
10K Views
Heri ya ku sensabika kwenu. Mke kafuma tukio la Mimi kuchepuka na dada mmoja muuza duka. Katika mabishano ya hapa napale nikaamua nikubali ili mzozo uishe. Leo asubuhi nimekaa sebuleni nasubiri...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari wanajf Nina ndugu yangu wa kike aliolewa na jamaa mmoja hivi kutoka kabila la lile la wapenda sifa na wote wameingia kwenye ndoa wakiwa wote Wana hela lakini mwanaume ndio ana hela zaidi...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Wengi mpaka hapa tulipo leo kwenye maofisi yaliyo kwenye floor ya ngapi sijui nini tower...kuna watu a tulishirikiana au walitusaidia kama si fedha basi hata ule mchango wa mawazo lakini na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga. Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa, wazazi walimpeleka mtoto wao kike kwenye shule ya bweni akasome huko ili asipate bugdha huko mtaani. Sasa siku ya siku mtoto huyo wa kike akiwa katika...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Swali linalotaka jibu sahihi. Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa? Sex atapata nje Mtoto atamzalisha mtu Kufua kuna Laundry Out kuna...
9 Reactions
140 Replies
13K Views
Habari za majukumu ndugu wajumbe wa JF. Pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja.. Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je, ni yupi anaweza kuwa mke bora kati ya hawa wawili? 1...
3 Reactions
15 Replies
905 Views
Back
Top Bottom