Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ...
Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa...
"Ahsante sana RAFIKI YANGU wa mtandaoni."
Hii ni special kwako wewe rafiki yangu wa mtandaoni. Rafiki yangu ambae mitandao ya kijamii imetufanya tuwe karibu zaidi kama watu tuliopitia historia...
Umekutana na mchumba, anakupeleka nyumbani unakuta ni nyumba ya mbavu za mbwa. Wazazi waliwekeza hela zao nyingi katika elimu ya binti yao, amefanikiwa kumaliza kidato cha nne na ana certificate...
Kwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume;
*Jamani tupende kupunguza na kudhibiti hasira zetu tambueni pia kua...
Kuna rafiki yangu mmoja yupo kwenye ndoa huu ni mwaka wa 19, wameishi pamoja na mkewe kwa muda mrefu, na hii imechangiwa pia kwa kufanya kazi mkoa ambapo wote wanaishi pamoja.
Amejitahidi...
Na hii ni matokeo ya utandawazi unaofanya wanawake wa dunia ya sasa kuanza mapenzi wakiwa mabinti wadogo kabisa, hivyo kupelekea kumjua zaidi ya mwanaume moja.
Sasa unakuta huwa wakikutana na...
Huyu binti alikuwa ni moja kati ya wale mabinti wanaojishebedua kwa maneno ya dharau, yenye kuudhi aswaa.
"Zero we unanitaka utanipa nini, kwanza naona kabisa kidudu chako ndio kile ukikohoa au...
Samahanini nimeanza bila kuwasalimia,
Kuna jambo fulani kwenye jamii linaonekana kana kwamba sio tatizo lakini ni katatizo kanakotupata sisi baadhi ya vijana wa kiume.
Hipo hivi kuna sisi...
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli...
Hii dunia ina vitimbwi vya ajabu sana, huwezi amini kuwa kuna watu wameshawahi kungonoka na wazazi wao. Je nini sababu kubwa? Je anaeshawishi mwingine ni yupi kati ya mtoto ama mzazi?
Mimi...
Kwa heshma na taadhima niseme tu kwamba mzee mrema kwa umri na afya yake ya sasa kwa jinsi aonekanavyo nje haikuwa busara Sana kwakwe kuoa kwa kipindi hiki.
Ndoa yake licha ya kuwa na kelele...
Nilikuwa nawaza inakuaje kuaje mpaka hii sensa iishe nisibeti ata karani mmoja wa kuja kuniesabisha gheto,
Sasa leo kama bahati nimembeti mmoja,nimekutana nae maeneo wakati niko njiani naelekea...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ama baada ya salam naomba nijielekeze kwenye mada husika. Kuna rafiki yang mmoja anaitwa J (nimekatiza jina lake kwa sababu ya heshima na usalama wake). Sasa huyo...
PENZI KITOVU CHA UZEMBE
KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA
MITOMINGI: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo.
MAMA MAZOEA: Basi fanya haraka (Mazoea anatoka...
Habari ya Jumatatu!
Jamani kuna rafiki yangu mmoja waukwee ambae nimemvurugaaa mwenzenu, nimemtibua kiasi kwamba naona kama kazira kabisaa mpaka nakosa raha.
Bado namkumbuka sana nakumbuka...
Tulidumu karibu miaka 10, nia yangu ilikiwa ni kumuoa ila baada ya kukamilisha mipango niliyojiwekea, ilipobaki miezi michache tuoane akanikalisha chini akaniambia kuwa hawezi kuendelea kuwa na...
Naona ushauri,
Kwa jina naitwa Yusrath Mohamed. Mimi ni Binti mwenye miaka 19 kwasasa.
Nyumbani kwetu sio matajiri na wala sio masikini bali ni maisha ya kawaida. Inshort mimi sio mtoto wa...
Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela.
Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi...
Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅...
Aisee leo Zero IQ kuamka tu nimekutana na bonge la meseji la kupigwa kibuti ,
Wanawake muda mwingine kuweni na huruma basi ata chai sijanywa unaamua kuniacha ili niumie nisingekuwa na spare za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.