Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa. Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike...
9 Reactions
127 Replies
9K Views
Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa. Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake...
8 Reactions
106 Replies
5K Views
Wakuu samahanini kwa lugha niliyoitumia ila mmenielewa.Ni hivi ukitaka kujua demu/mke wako katoka kubanduliwa fanya hivi 1:Jaribu kuchek chupi yake ,utaona imechafuka kuliko kawaida ,hii hutokea...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu mimi nina swali moja tu leo. Kwanini mwanamke akikuelewa halafu wewe huna muda nae basi anakuletea shobo nyingi, ila ukithubutu kumtongoza tu basi anakuwa ni mtu wa kuona aibu muda wote...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ukitaka uishi kwa Furaha na muda mrefu kwenye ndoa wewe amua kujitoa ufahamu na akili zako binafsi Jifanye Zuzu, mjinga, mpumbavu na lofa kwa kila jambo kwa mwenza wako hasa pale unapohisi...
27 Reactions
89 Replies
6K Views
Salaam! Nilihadihiwa jana na workmate namna alivyoachwa kwenye mataa na aliyekuwa mpenzi wake. Wamedumu kwa mwaka 1, mwezi wa 7 huu uliopita bibie akanyuti bila taarifa kuwa ameamua kuachana na...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu jukwaani, Mada inajieleza. Kuna mke wa mtu ananitaka na ikiwezekana anadai nizaenaye. Ndoa yao kwa nje inaonekana tulivu na yenye upendo. Nimekuwa nikimkwepa na kutojibu SMS zake na...
3 Reactions
129 Replies
17K Views
Wakulungwa nawasalimu wote kwa jina la upendo wa dhati. Wazee kuna siku humu MMU nilikuwa napitia nyuzi mbali mbali za wadau kwa ajili ya kuona maisha upande mwingine yanakwendaje. Sasa katika...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau poleni sana na tozo na mambo mengine kadha wa kadha. Iko hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke fulani kwa muda wa miaka mitatu sasa unaenda mwaka wa 4. Hii ni nyumba ndogo(mchepuko)...
8 Reactions
80 Replies
5K Views
Kama Kutongoza mdada ni urijali na si kujishusha, mbona wao wadada hawatutongozagi? Maana Kimoyo moyo wao wanajua kumshobokea na kumfuata fata mtu ni kujishushia point. Sahivi mpaka nitongoze...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Nianze kwa kucheka sana[emoji23][emoji23][emoji23] Hakika nimelipa fungu la kumi kiaina. Natakiwa kubarikiwa kwa kasi ya 5G+. Hakika nimeteketeza 100k hivi hivi naiona. Hata hivyo ni pesa ya ganji...
17 Reactions
57 Replies
5K Views
Astaghafitulah.. Manka kwanini umefanya hivi mkeku.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu nimekuja kwenu taka ushauri mama watoto wangu mke namuhudumia kwa kila kitu atakacho cha ajabu amekua akifanya biashara kisirisiri ya kupika mandazi afkeki na kupeleka kwa wenye...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kua ni wazima wote humu MMU,jana nilirudi hom nikiwa tungi kidogo ila nilikua najielewa nimefika hom nakuta chakula kwa maana ya mikate na maziwa na mimi huwa silagi vitu vya...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu. Ninapitia kipindi cha kuumia sana. Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi...
10 Reactions
128 Replies
18K Views
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, yamemkuta Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari ya wakati huu Wapi ninaweza kumpata mke au mume mwema? Hili ni swali ambalo kama kijana nadhan ulishawahi kujiuliza au ulishawahi kuulizwa na mtu wako wa karibu. Kabla hatujaenda...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani habari zenu, Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake. Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo...
11 Reactions
160 Replies
7K Views
Back
Top Bottom