Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na...
Natoa indhari kwà sheria za jf mtu hazuiwi kuweka avatar aipendayo sasa mimi Tapaiko Namkeho ni janadume hivyo tusichukuliane poa nimeweka hilo tako ili muda wote nimuone mke wangu ambae anasoma...
Kwema Wakuu!
Tokea Tangazo la Walamba Asali kujitangaza kuwa Mzinga wa nyuki umejaa pomoni ukifurika asali, wakasema huu ndio wakati wa Kula masega ya asali na asali yake.
Nilidhamiria kujiunga...
Mada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
WANAUME WA AFRIKA.!
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi...
Wakuu ndugu zangu
Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi.
Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa...
Wapenz naomba mnipe uelewa juu ya kabila la waluguru juu ya kuchezewa Ngoma na kunyoa sehem za Siri
Nimepata binti WA Morogoro Muluguru
Tatizo lake hataki kunyoa utupu wake ukimuuliza anajibu...
Mwenye namba ya huyu Pastor wa Kike anisaidie na kama unajua hata kwao niambieni huenda wadogo wake wakawa wanawake bora kwenye ndoa
"Nataka mwanaume mwenye magari. Nataka mwanaume mwenye...
Morning JF family,
Aisee mahusiano ya hivi visichana ni vichekesho na pasua kichwa kwa sisi watu wazima, yaani Kuna kabinti fulani kanauza pharmacy maeneo ya mjini kati, sasa bwana nilimzimia...
Nimemsikia raisi wetu SSH jana akiwa hospital ya CCBRT akisema kuna vyumba ambavyo vitatumika wakati wa mke akiwa kwenye kujifungua mume awe hapo akimtia moyo,akiona shughuli wanawake wanapitia😀😀...
Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums
Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana.
Hakuna ndoa yoyote hapa duniani...
Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari.
Kwa kifupi last 2 weeks nilikua...
Kijana Ferdinand anadai amemuona Eliza ambae ni bibi kiumri kwenye ndoto kama binti wa miaka 18 akiwa anang'aa kuanzia macho, pua na mdomo kama binti mrembo kwenye ulimwengu wa Kiroho.
Ferdinand...
Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao...
Kibaya zaidi nimekwisha mtambulisha kwa marafiki zangu kwenye siku ya party ya pamoja
Hata tuwe tunazungumzia kitu gani, akiona tu noti nyekundu anachanganyikiwa, anapatwa na kigugumizi, hata...
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya...
Habari za J5 wakuu,
Kuna umri ukifika kumpata mtu ambae hajaanza maisha kabla ni nadra. Nilitaka tufahamishane changamoto unazopata pale unaokuta watoto kwenye uhusiano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.