Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato. Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake...
26 Reactions
200 Replies
53K Views
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu. Tambua bila huyu...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Mtoko wa chakula cha usiku ambacho nilikuwa na wiki mbili nimeuomba kutoka kwa Brenda ulikuwa umekubaliwa. Tulikuwa kwenye moja ya mgahawa katikati ya jiji la Mwanza. Tuliagiza chakula na kula...
3 Reactions
3 Replies
952 Views
Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA. Baada ya...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mkasa wenyewe. Wanaume wenzangu naombeni mbinu ya kupunguza mashambulizi kwa hawa jinsia ke , maana huyu ni mtu wa tatu anasema nikiendelea kukamia...
3 Reactions
16 Replies
877 Views
Wana jf nataka unipe uzi wa apa apa jf ambao nikitengeneza story ya movie kupitia uzi uo itakuwa kali saana
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo. We angalia tu....imagine...
26 Reactions
51 Replies
5K Views
Habar wakuu Natumaini niwazima wote Niende streght kwenye uzi Kiukweli wakuu sasa nahtaji kubadilisha mfumo wa maisha yangu kiukweli sikuwa hivi nilivyo nakili na kukili mimi nikijana...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Yani vijana wa siku hizi ukienda kuwaomba ushauri tu akuna chochote watakacho kujibu zaidi ya tafuta pesa Kuna msela wangu ili neno limekuwa kama slogan yake chochote utakacho mwambia yeye...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Siku ya juzi nimekosana na mpenzi wangu. Kosa langu ni kukutwa meza moja na wanawake wawili bar nikiwa nawasaidia kuwamwagilia moyo Binti kumbe alichukia, hakupokea hata simu zangu wala kujibu...
11 Reactions
84 Replies
5K Views
Nakumbuka siku moja tukiwa kanisani mdogo wangu mwenye miaka 4 akiwa amepakatwa na mama huku kanisa likiwa limetulia alisikika akisema. [Mama nataka TUTO******E na kanisa zima tukasikia] kwa...
10 Reactions
126 Replies
21K Views
Mwanamke akiomba speed ipungue ndio inakuwa kama ruksa ya kupeleka moto haraka kama sungura Mwanamke akiommba kuongeza speed tunaanza kwenda taratibu sana kama kobe Akisema usiingize yote...
4 Reactions
7 Replies
863 Views
Una uhakika gani kwamba hajawai kupasha kiporo na ex wake, hawara anatongozwa ?? Kuna kipindi mnagombana, unajua ni namna gani anavyo deal na hio hali kutuliza hasira ama kukukomoa ?? ana deni...
1 Reactions
8 Replies
993 Views
Hatimaye kijana wetu amaeamua kuchangua familia dhidi ya mwanake aliyetaka kumuoa. Mwingine alikengeuka lakini kilichotokea hadi leo anajuta. Kijana wetu huyu wa kwanza ana miaka 26, yeye alikuwa...
4 Reactions
4 Replies
960 Views
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau!!! Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro. Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaaam magreat thinkers Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa) 1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle...
13 Reactions
279 Replies
13K Views
Hope mko poa, Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, halafu penzi likanoga Kama zamani. Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae...
8 Reactions
118 Replies
11K Views
Back
Top Bottom