Hii nakupa chukua..
Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua.
Issue...
Inauma sanaa maumivu ni makali nikikojoa ni usaha ulioganda maumivu kama mtu ananichomachoma na sindano.
Chizi anachekesha akiwa siyo ndugu yako. Msiba ni wa kawaida usipokuwa nyumbani kwako...
Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M...
Kuna makabila ya kuyaamini lakini sio mangosha, yaani amemenyewa tena kiustadi mkubwa, uno la kimama mchungaji kiasi kwamba mpaka mtumishi aliyekuwa akizagamuana naye ameshindwa kuendelea kuishi...
Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye...
Tumsifu, asalaam aleykum
Naandika hata nikiwa na mabubujiko ya machozi moyoni yaani role model wa maisha yangu kwa mke niliyemtarajia naye ameniangusha jamaniiii. Dahhh hii dunia sio fair kabisa...
Sijawahi sikia mtu kafa kisa hajapewa salaam!
NB: Kuna sababu nyingi zinazopelekea upungufu wa nguvu za kiume na kwa upande wa wanawake sijajua neno zuri moja lakulitumia (nguvu za...
Kuhusu kitendea kazi, kiko salama, sina tatizo la nguvu za kiume ila nikimaliza tu, yaani wiki nzima nasikia uchovu, nasikia kulala lala tu.
Naweza lala mchana hata masaa matano kisha na usiku...
Habari wana Jf. Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani miaka 3. Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda...
‘Dodo’, ile ngoma la King Kiba, kalisikilize tena leo. Yawezekana hukuelewa jana na majuzi ile. Ni ngoma ambayo unaweza kuitumia kusaka ‘waifu’ flan hivi na ukafanaikiwa. Ni ngoma ambayo inakuwa...
Wadau habari za muda huu poleni na majukumu na Mungu awabariki katika kazi zenu za mikono.
Twende kwenye mada moja kwa moja, kuna mwanamke mmoja mwenye miaka 34 hivi, hajaolewa, mtoto wa Kikurya...
Wazima wote humu ndani?
Hii tabia ya baadhi ya partner kwenye couple mpya kusimulia mambo yaliyopita kwenye mahusiano inakera. Sijui watu wanatumia kama defensive mechanism au ni ufahari.
Kama...
Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda...
Miaka iliyopita, nilichepuka na dada mmoja; kwa bahati mbaya yule mdada alinogewa na akatamani kupindua meza; kwa kuniwekea mazingira, nikikutana na mwanamke mwingine, jogoo asisimame ila kwake...
Mpaka umepata nguvu ya kuingia JF sipati kigugumizi ku-assume kuwa wewe ni mzima wa afya,,tumshukuru mungu[emoji120].
Katika kuishi ishi kwangu nimekuwa na mahusiano na wasichana wakawaida sana...
Leo nilikuwa naongea na mpenzi wangu, tulivyo kuwa tunaongea nikamuuliza swali hili;
"Ni mwanaume wa aina gani ambaye anavutiwa naye?"
Cha ajabu vigezo alivyotoa sina hata kimoja. Hivi wakubwa...
Kupenda sana kusalimiwa ni dalili ya umaskini, kupenda sana kusalimia ni dalili ya uungwana, kwakua we sio maskin(wa fikra lakini maana nna uhakika hela huna[emoji23]) na mimi sio muungwana...
Hii siri leo nawaibia dada zangu, wakulungwa mabinti na majimama ya humu jamiii forum,
Ukiona tu mpenzi/rafiki yako anakwambia hana pesa ya kwenda kukuweka(kukupeleka guest mkanyanduane) ujue...
Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?
Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa...
Mimi sijawahi kupanga nyumba. Ila kuna baadhi ya vitu na vionaga kwenye filamu za wabongo na sio watanzania tu filamu nyingi za Afrika kuhusu baba au mama mwenye nyumba kuwa mkali saana
Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.